Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Watakaokuwepo hai mwaka 3000 huko watajivunia Tanzania ya Superpower 🤪
Japo Sina uhakika hata kufikia Uchumi wa kati kama tutakuwa tumefika, maana saivi tumerudi Uchumi wa chini chini kabisa
Watakaokuwepo hai mwaka 3000 huko watajivunia Tanzania ya Superpower 🤪
Vip akija kma wakoloniKila sehemu kuna wababe bongo wanaitwa mtandao na hao ndio wababe wa Dunia,
Walikuepo enzi na enzi kipindi cha utawala wa roma, ugiriki, misri, uingereza kaitawala hadi marekani na alibeba watu kila kona ya afrika kuwatumikisha huko amerika
Tushukuru huu ubabe wa sasa ila wababe wa zamani walikua hatari
Na marekani ataanguka atakuja mbabe mwingine ......
Historia inajirudia always, wakati dola ya rumi inatawala dunia hakuna mtu ungemwambia itakuja kuanguka akakuelewaAtaangukaje wakati kampiga China gap ya $12T iyo Gap ni uchumi wa German,France and UK combined
Mkuu kama huoni sasahivi tunatawaliwa kuliko hata enzi za ukoloni?Vip akija kma wakoloni
Kwa Sasa uchumi wa Marekani unategemea mafuta ya mashariki ya kati kuuzwa US $Ataangukaje wakati kampiga China gap ya $12T iyo Gap ni uchumi wa German,France and UK combined
Waarabu ni watu wanafiki sana mkuuu hawawezi hata kufukilia kesho wao ni wavivu na kupenda kujipendekeza sana hapo jamaaaa mkuuKwa Sasa uchumi wa Marekani unategemea mafuta ya mashariki ya kati kuuzwa US $
Siku waarabu wakijaniaruka na kuikataa US $ katika biashara Yao ya mafuta Marekani atakuwa kama joka la kibisa
Hii ni kawaida ya mipumbavu ya JFSio nchi zote mkuu usipende kudanganya. Nchi zilizotii hadi sasa ni Uturuki na baadhi ya gulf nations. Ila sio zote. China,Urusi,Armenia wote wamekataa kutii hilo agizo. Iraq nao wamekataa japo kuna majadiliano ya kubadili flight destinations.
Unauliza swali ambalo unajua majibu yake,ni kweli kwamba hujui nguvu ya Marekani kwenye hii dunia...?Hii nguvu ya marekani inatisha. Juzi Waziri wa fedha wa Marekani alitangaza kuwa Iranian Airlines itapigwa ban Dunia nzima. Na nchi itakayoruhusu ndege za Iran kutua basi itakabiliwa na vikwazo vya Marekani
Cha kushangaza nchi nyingi zimeipiga ban Air Iran, nchi zote ambazo air Iran ilikuwa inatua zimeipiga ban kutua kwenye nchi izo.
Swali ni kwamba Marekani anaamua chochote hapa duniani na nchi zinatiii,je anaamua Kama nani? Na ingetokea nini kama Kuna nchi zingekaidi amri hii ya Marekani?
Soma pia Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran
==============
All Iranian commercial airlines could effectively be shut out of the global aviation system from September 23, US Treasury Secretary Scott Bessent has warned, as Washington expands its sanctions campaign against Tehran and targets foreign companies that continue providing services to Iranian carriers.
Bessent said international airports, ground-handling companies and ticketing agents could face US sanctions if they continue to service Iranian airlines. The warning means carriers could struggle to obtain basic services such as fuel, landing assistance and ticket sales outside Iran.
'On September 23rd, all the Iranian airlines will be shut down around the world,' Bessent told CNBC on Monday. 'If they land, you cannot provide them with fuel, you cannot provide them with landing services, you cannot sell them tickets, or you will be knocked out of the dollar system.'
The latest move builds on sanctions announced by the US Treasury earlier this month.
On September 8, the Treasury Department sanctioned 36 targets linked to Iran's aviation sector, including 27 Iranian airlines and foreign companies and intermediaries accused of helping Iran procure aircraft, aviation technology and other services.
The Treasury has also warned foreign companies that provide commercial or financial support to sanctioned Iranian airlines that they could themselves face consequences. Simply put, companies that want continued access to the US financial system may have to choose between servicing Iranian carriers and avoiding US sanctions.
Source: Firstpost & CNBC
Biashara ya kimataifa kwa kiasi kikubwa inatumia dola ya Marekani na mitandao ya Marekani. Mfano, biashara ya mafuta kwa kiasi kikubwa inatunia dola ya Marekani, settlement system ya Marekani, malipo yanafanyiwa settlement hapo lower Manhattan Federal Reserve New York branch.Hii nguvu ya marekani inatisha. Juzi Waziri wa fedha wa Marekani alitangaza kuwa Iranian Airlines itapigwa ban Dunia nzima. Na nchi itakayoruhusu ndege za Iran kutua basi itakabiliwa na vikwazo vya Marekani
Cha kushangaza nchi nyingi zimeipiga ban Air Iran, nchi zote ambazo air Iran ilikuwa inatua zimeipiga ban kutua kwenye nchi izo.
Swali ni kwamba Marekani anaamua chochote hapa duniani na nchi zinatiii,je anaamua Kama nani? Na ingetokea nini kama Kuna nchi zingekaidi amri hii ya Marekani?
Soma pia Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran
==============
All Iranian commercial airlines could effectively be shut out of the global aviation system from September 23, US Treasury Secretary Scott Bessent has warned, as Washington expands its sanctions campaign against Tehran and targets foreign companies that continue providing services to Iranian carriers.
Bessent said international airports, ground-handling companies and ticketing agents could face US sanctions if they continue to service Iranian airlines. The warning means carriers could struggle to obtain basic services such as fuel, landing assistance and ticket sales outside Iran.
'On September 23rd, all the Iranian airlines will be shut down around the world,' Bessent told CNBC on Monday. 'If they land, you cannot provide them with fuel, you cannot provide them with landing services, you cannot sell them tickets, or you will be knocked out of the dollar system.'
The latest move builds on sanctions announced by the US Treasury earlier this month.
On September 8, the Treasury Department sanctioned 36 targets linked to Iran's aviation sector, including 27 Iranian airlines and foreign companies and intermediaries accused of helping Iran procure aircraft, aviation technology and other services.
The Treasury has also warned foreign companies that provide commercial or financial support to sanctioned Iranian airlines that they could themselves face consequences. Simply put, companies that want continued access to the US financial system may have to choose between servicing Iranian carriers and avoiding US sanctions.
Source: Firstpost & CNBC
Kijana punguza mis information? Una maana gani ukisema ZOTE? kwamba mpaka China, Russia na allies wengine ambao ndio miaka yote wamekua partners wa Iran? Pia vikwazo wameshawekewa miaka mingi tokea 2018 so hamna jipyanchi zote ambazo air Iran ilikuwa inatua zimeipiga ban kutua kwenye nchi izo
SawaKijana punguza mis information? Una maana gani ukisema ZOTE? kwamba mpaka China, Russia na allies wengine ambao ndio miaka yote wamekua partners wa Iran? Pia vikwazo wameshawekewa miaka mingi tokea 2018 so hamna jipya
Wewe hata biashara ya nyanya tu hufanyi utajuaje biashara ya kimataifa na sidhani hata kama umewahi kuagiza chochote nje ya nchi hii.US Dollar i karibu kuanguka
Soon and very soon. Kabla ya USA kulikuwa na Roman Empire, Ottoman Empire and British Empire. Marekani nao wapo kwenye direction hio hio!US Dollar i karibu kuanguka
Si wakatae tu hata leo sasa wameshindwa nini, unafikiri waarabu wenyewe wajinga wachukue sarafu zingine halafu wazipeleke wapi.Kwa Sasa uchumi wa Marekani unategemea mafuta ya mashariki ya kati kuuzwa US $
Siku waarabu wakijaniaruka na kuikataa US $ katika biashara Yao ya mafuta Marekani atakuwa kama joka la kibisa
Dollar ni matumizi yak ndiyo inaipa value , ndio maana aliingia mkataba wa petrodollar na ukienda kinyume unavamwa anzia na Iraq alipoanza kuuza mafuta yake wa Euro...Unaweza kufanya biashara na mwingine , ila bidhaa kubwa zimewekwa hivyo ...Saudia kukubali kwake matumizi ya dollar hapo amejanga urafiki , USA analazimisha pesa yake itumike , kuwa na uchumi mkubwa ni kwama pesa yake inakwua traded sana kila kona na anapata faida za moja kwa moja.Si wakatae tu hata leo sasa wameshindwa nini, unafikiri waarabu wenyewe wajinga wachukue sarafu zingine halafu wazipeleke wapi.
Watu ambao hamjawahi kufanya biashara ya kimataifa hakuna mjualo ni ushabiki tu wa kwenye vijiwe vya tangawizi na kahawa.
Labda mwaka 700,000Ndiyo maana ya kuwa superpower Nation
Hata sisi mwaka 3000 huko tukiwa superpower, tutawapangia marafiki na maadui Nchi nyingi tu 😅
Hatari 😅Labda mwaka 700,000