Marekani ana nini? Ameipiga ban Iranian Airlines, na nchi zote zimefuata maelekezo

Hii vita imegeuka mzigo kwa Marekani pekee , Israel imekaa kimya pembeni.

Kichuguu zitto junior
 
Denmark ameshakataa hilo. Uongozi wa Trump ni watu wa kufanya vitu VISIVYOTIMIA. Unadhani Denmark watakaa na kulipuuzia hilo!?
Aya leo mataifa mengi yamekataa katazo la usafiri wa ndege kwa Iran. Brazil nayo imeungana na Iran.
acha tuone mwenendo
 
Kwani wewe ulikuwa hujui kuwa Marekani ni Kiranja wa dunia.?
 
Bahahahahaha, alafu Tanzania shilingi isimame au?
Hapana, kumbuka kulishawahi kuwepo fedha zenye nguvu na zilikuwa global reserve currency kabla ya usd na zilipoteza hiyo hadhi mfano sterling pound, hivyo nilikuwa namaanisha hata USD siku si nyingi itapoteza hiyo hadhi ya kuwa global reserve currency.
 
Alafu ipi itakuwa na nguvu Yuan? Yen? Rubble? Rand? Pound tena? Euro? Ama ipi hasa unaiona ikiwa na nguvu karne hii
 
Badoooo sana!!! Unaweza kusubiri hata ukafa tu wewe na haiwezi kutokea!!
 
Marekani inanguvu kuliko hata EU. Angalia hata Tanzania viongozi wa serikali yake akina Makonda na Mafwele wamepigwa ban kwenda huko lakini bado viongozi wetu wanajibebisha kwa wamarekani ili wasizuiwe kwenda huko. Usione hivyo watu wamejiminya makorodani ili marekani asije akawapoint kwamba wamefungiwa wasiende huko.
 
Kiranja wa dunia akiongea nani apinge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…