Marekani: Angelina Jolie amshtaki Brad Pitt kwa unyanyasaji

Marekani: Angelina Jolie amshtaki Brad Pitt kwa unyanyasaji

We acha tu...mi juzi nimekumbushwa mfululizo wa makosa niliyokosa toka 2007 to date na kayatolea hukumu hayo hayo[emoji1787] ikiwemo suala ambalo tumeliongea na kulijadili some 3 weeks ago.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nafikiri aende tu kwakweli
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]jamani kanikumbusha mbaali!!!
 
Jolie kakumbuka **** ya Brat Pitt, sasa kakosa wa kumkuna anaanzisha vurugu aisee, ila hana point, 2016 hadi leo kakaa kimya, huo ni uongo tu, so anatafuta kiki tu.
 
Jolie kakumbuka **** ya Brat Pitt, sasa kakosa wa kumkuna anaanzisha vurugu aisee, ila hana point, 2016 hadi leo kakaa kimya, huo ni uongo tu, so anatafuta kiki tu.
mwaka si tatizo kwa ulaya na marekani, kumbuka mashtaka ya prince edward, r. kelly, aliyekuwa mke wa johnny deep.
 
Jolie aache ujinga sasa alivyoshuka kwenye ndege kwanini hakupitiliza mahakamani
Niliwahi soma sehemu kuwa jolie hatakia kumwona jamaa ana furaha wala kamove on. Rafiki zake Brad walikuwa wanasema kuna mambo mengi anamfanyia Brad ili tu kumkomoa
 
Back
Top Bottom