[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]jamani kanikumbusha mbaali!!!We acha tu...mi juzi nimekumbushwa mfululizo wa makosa niliyokosa toka 2007 to date na kayatolea hukumu hayo hayo[emoji1787] ikiwemo suala ambalo tumeliongea na kulijadili some 3 weeks ago.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nafikiri aende tu kwakweli
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji817][emoji817]Msipotuoa sisi tutawawowaaa
Nimeshtuka sana...Wanawake wana tabia ya kubeba visasi....na huwa hawasamehi moyoni ila mdomoni wepesi
Kweli brother!Wanawake wana tabia ya kubeba visasi....na huwa hawasamehi moyoni ila mdomoni wepesi
😳 yaani wote mko hivyo?Tumeumbwa hivyo
mwaka si tatizo kwa ulaya na marekani, kumbuka mashtaka ya prince edward, r. kelly, aliyekuwa mke wa johnny deep.Jolie kakumbuka **** ya Brat Pitt, sasa kakosa wa kumkuna anaanzisha vurugu aisee, ila hana point, 2016 hadi leo kakaa kimya, huo ni uongo tu, so anatafuta kiki tu.
Niliwahi soma sehemu kuwa jolie hatakia kumwona jamaa ana furaha wala kamove on. Rafiki zake Brad walikuwa wanasema kuna mambo mengi anamfanyia Brad ili tu kumkomoaJolie aache ujinga sasa alivyoshuka kwenye ndege kwanini hakupitiliza mahakamani