The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
- Thread starter
- #21
Miongo saba ni mingi sana aliingia jela kukiwa hamna TV za rangi sahivi kuna Flat screens na simu za kugusa vioo.
Kuna huyu Ortis, alitoka jela baada ya miaka 44.
Anasema alipotoka alishangaa kukuta watu wanaongea wenyewe wanatembea wanaongea wenyewe kumbe watu wanatembea wanaongea na simu.
Anasema mwaka 1975 alipoingia jela aliacha maisha ya kawaida lakini alipotoka akakuta watu wana mawaya waya masikioni akajiuliza hivi miaka hii kila mtu ni CIA kumbe watu wana earphones.
Kukaa jela miaka 70 sio masihala.