Anasema alipotoka alishangaa kukuta watu wanaongea wenyewe wanatembea wanaongea wenyewe kumbe watu wanatembea wanaongea na simu.
Anasema mwaka 1975 alipoingia jela aliacha maisha ya kawaida lakini alipotoka akakuta watu wana mawaya waya masikioni akajiuliza hivi miaka hii kila mtu ni CIA kumbe watu wana earphones.
Nyinyi tu mmeishi bila bugudha yeyote maishani mwenu moto ,ila hatakunyanyua miguu huwezi..mwezenu gerezani hiyo miaka yuko imara kabisa......tumtafte das mmoja tumtume akaolewe huko kama yule kwababu seya