Marekani awanahofia mashambulizi dhidi ya Wahouthi watajibu kwa makombora ya ballistic missiles, ambayo ni hatari

Marekani awanahofia mashambulizi dhidi ya Wahouthi watajibu kwa makombora ya ballistic missiles, ambayo ni hatari

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Marekani na washirika wake wanahofia kwamba mashambulizi dhidi ya Wahouthi yanaweza kusababisha majibu kutoka kwa Wayemeni.

Kizuizi kikubwa cha Ansarullah ni makombora yake ya balistiki, ambayo yana masafa ya kilomita 2,000.

mali zote za Marekani katika eneo ziko ndani ya safu ya makombora haya.

Wataalamu wengi wa masuala ya kijeshi wanaamini kuwa Marekani lazima iwaondoe wanajeshi 55,000 wa Marekani kutoka eneo hilo kabla ya kuanza vita kamili katika eneo la Mashariki ya Kati.

Israel nao wanalalamika kuwa Wahouthi watakuwa makombora yenye masafa marefu na usahihi zaidi, watapiga Israeli, watapiga Tel Aviv."

===============

Taarifa rasmi kutoka kwa harakati ya Ansarullah:

☑️ Harakati za Marekani katika Bahari Nyekundu kulinda meli za Israel hazitazuia Yemen kutekeleza wajibu wake.

☑️ Jeshi la Wanamaji la Yemen lilifanikiwa kushambulia meli ya makontena iliyokuwa ikielekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu baada ya kukataa kuitikia simu zetu.

☑️ Vikosi vya Wanajeshi vya Yemen vinashauri tena nchi zote kutoingizwa katika mipango ya Amerika inayolenga kuwasha Bahari Nyekundu.

☑️ Vikosi vya Yemen havitasita kuzuwia uchokozi wowote dhidi ya nchi yetu na watu wetu.

View: https://x.com/iranobserver0/status/1741873461474021499?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Attachments

  • IMG_8688.jpeg
    IMG_8688.jpeg
    51.9 KB · Views: 2
  • IMG_8687.jpeg
    IMG_8687.jpeg
    32.4 KB · Views: 2
Tusiache kuwatia moyo wenzetu kama tulivyokubaliana ndugu zanguni. Sasa hivi Yemen wanaenda kuifuta kabisa Marekani. Safari hii Makafir wanaisha kabisa. Kichapo kila sehemu. Kule Palestine nako Mayahudi wanakufa kama kumbikumbi. Wameisha kabisa.

TUsichoke kutiana moyo na kuanzisha uzi mbalimbali. Ila tuwakumbuke pia na janjaweed kule sudan tusiwaache wapweke.
 
Siku zote kupigana ni teknics sio wingi wa masilaha
ni kweli, marekani atanyosha mikono juu sasaivi, waarabu ni watu hatari sana wale, hakuna kama wao, ndio watawala wa dunia hii. hata kule Gaza wamewazuia kabisa Israel asiingie kama walivyoahidi kwamba wayahudi hawataweza kuingia Gaza, na majengo yote Gaza hayajabomolewa wala nini.
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,ukikaa kimya hutajulikana kama ni mpumbavu,
Leo miezi mitatu Israel akisaidiwa na US,France,German,Italy na wengine wameshindwa kuimaliza Hamas kama lilivyo lengo la vita,wameshindwa kuwaokoa mateka kama lilivyo lengo la vita,

Unafikiri vita ni kubomoa majengo tu? ukishindwa kutimiza lengo lillilokufanya kuanzisha vita unahesabika kama umeshindwa,najua hapa huwezi kuelewa coz akili ya kuelewa huna,unajadili vitu vya msingi kwa ushabilki,rudi tu Fesibuku ukaendelee ku like mitindo ya nywele na madela.
 
Wapi uko alisha wahi kuingia vitani peke ake ? Na akw shinda 😹😹😹😹cry babies
Kuandika vizuri tuu hujui sasa utawezaje kujua mambo kama hayo, kacheze na watoto wenzio huko
 
Mwanzo wa mwisho wa United Shits Of Americant na shoga zake kuikalia mido ist unakaribia
Safi sana
Hata France wanakimbia nchi za Africa walizozitawala miaka na miaka
Watu wanajitambua sana kwa sasa
Wameleta mitandao watajuta sana kila kitu kiko wazi kuanzia wizi wao mpaka mbinu zao zote zinajulikana sasa

Piga Tel Aviv
 
Kabisa yaani sasa hv sio kuambiwa kwenye makaratasi eti israhell aliyapiga mataifa ya kiarabu kwa siku sita
Leo tunaona ghaza na hamas wanapigwa kwa miezi mitatu na hawapigiki
 
Kabisa yaani sasa hv sio kuambiwa kwenye makaratasi eti israhell aliyapiga mataifa ya kiarabu kwa siku sita
Leo tunaona ghaza na hamas wanapigwa kwa miezi mitatu na hawapigiki
Mungu mkubwa Sheikh
Propaganda chafu kwa sasa watu wamejitambua na tactic zao zote zinajulikana
Israel safari hii wameshikwa pabaya Walahi
 
Back
Top Bottom