Marekani awanahofia mashambulizi dhidi ya Wahouthi watajibu kwa makombora ya ballistic missiles, ambayo ni hatari

Marekani awanahofia mashambulizi dhidi ya Wahouthi watajibu kwa makombora ya ballistic missiles, ambayo ni hatari

Mungu mkubwa Sheikh
Propaganda chafu kwa sasa watu wamejitambua na tactic zao zote zinajulikana
Israel safari hii wameshikwa pabaya Walahi
Kabisa kwa sasa watu labda uwape pesa ila kuwa brain wash kijinga jinga imekua kazi
Israhell na misaada yooote anayopewa ila amekua wakawaida sana sana sana zaidi ya nlivyo tarajia kua atakua
 
Jaribu kuficha upumbavu wako kwa kukaa kimya,ukikaa kimya hutajulikana kama ni mpumbavu,
Leo miezi mitatu Israel akisaidiwa na US,France,German,Italy na wengine wameshindwa kuimaliza Hamas kama lilivyo lengo la vita,wameshindwa kuwaokoa mateka kama lilivyo lengo la vita,

Unafikiri vita ni kubomoa majengo tu? ukishindwa kutimiza lengo lillilokufanya kuanzisha vita unahesabika kama umeshindwa,najua hapa huwezi kuelewa coz akili ya kuelewa huna,unajadili vitu vya msingi kwa ushabilki,rudi tu Fesibuku ukaendelee ku like mitindo ya nywele na madela.
OK, nakubaliana na wewe, Israel ameshindwa vita. si ndio.
 
Waislamu ni magaidi lazima wazibitiwe ,ndo chanzo Cha vurugu duniani
Hakuna anaeweza kuwadhibiti waislam na uislam
Yaani hio ndio ndoto ya kila kafiri tokea zama na enzi ila hamjawahi na hamtakuja kufanikiwa
Uislam ndio mfumo sahihi wa maisha ya mwanaadam anaotakiwa kuuishi
 
Back
Top Bottom