Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kabisa kwa sasa watu labda uwape pesa ila kuwa brain wash kijinga jinga imekua kaziMungu mkubwa Sheikh
Propaganda chafu kwa sasa watu wamejitambua na tactic zao zote zinajulikana
Israel safari hii wameshikwa pabaya Walahi
Israhell na misaada yooote anayopewa ila amekua wakawaida sana sana sana zaidi ya nlivyo tarajia kua atakua