Mfalme26
Senior Member
- Feb 23, 2021
- 128
- 220
Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2.
Binti yake Khorry Ramey(19) amezuhiliwa kushuhudia adhabu hiyo, licha ya bwana Kelvin kutaka binti yake ashuhudie nyakati za mwisho za baba yake(Excution). Kutokana na sheria za jimbo la Missouri, mtu mwenye chini ya umri wa miaka 21 haruhusiwi kushuhudia adhabu ya kifo.
Bwana Kelvin alihukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumpiga risasi Wlliam McEntee, askari aliyekuwa katka majukumu yake huko Kirkwood katika jimbo la Missouri nchini Marekani.
Adhabu ya kifo ilifutwa na mamlaka ya majimbo nchini marekani tangu mwaka 1972 na hatimae 1988 ilibatilishwa. Adhabu ya kifo irudishwa rasmi mnamo mwaka 2003 na hukumu ya kwanza ilikuwa dhidi ya Louis Jones Jr, 53, mbabe wa vita vya Ghuba aliyemuua Askari.
Kuna aina zisizopungua tano(5) za adhabu ya kifo nchini Marekani(Death Penalties) huku ile maarufu kabisa ikiwa Kudungwa sindano ya sumu(Lethal Injection), adhabu nyingine ni kama kupigwa risasi(Gnshoot), lethal gas, electric chair, kunyongwa(Hanging) n.k.
Takribani majimbo 29 yanatekeleza adhabu ya kifo nchini marekani, huku jimbo la Calfornia likiwa kinara wa adhabu nyingi zaidi.