Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Kivipi Mkuu? Au kwa sababu ya kunyonga? If that is the case, unayajua mataifa vinara wa kunyonga duniani?
Saudia mji mkuu wa hijja Mecca Huko wanachinja watu kabisa kama capital punishment ,huyo mpuuzi sijui anaongea nini
 
Saudia mji mkuu wa hijja Mecca Huko wanachinja watu kabisa kama capital punishment ,huyo mpuuzi sijui anaongea nini
... tena wanawaua kwa kuwapiga mawe hadharani na wanajamii wote huitwa kushuhudia!
 
Mimi mwenyewe huwa nashangaa mkuu linchi la hovyo sana hilo
Saudia Arabia ,Iran na nchi za wavaa kobaz mnaoua watu kwa kuwapiga mawe mpaka kufa na kuwachinja tena kwa watu kufanya starehe zao kama ngono ndio nchi za maana au sio ?
 
Ningumu ila ni kukubali matokeo, leo hii ukiambiwa una terminal disease utajisikiaje? ndivyo hivyo. Ni kukubali matokeo, kifo sawa kulala fofofoo. Msala kwa waliobaki duniani.
Vipi ikitokea akachomwa sindano kisha asife?
 
Vipi ikitokea akachomwa sindano kisha asife?
Imeshawahi kutokea hiyo situation mara kadhaa(Lethal injection failure). Ikitokea hali kama hyo, victim anapangiwa tarehe nyingine ya kuuwawa. Lakin hali hii hutokea ktk kifo kinachotokana na lethal gas, lethal poison au kifo kinachotokana na kurushwa na umeme mkali(Electrocution). Na kifo hiki ndicho chenye maumivu zaidi, lakini kitanzi huwa hakifail(Hanging)
 
Back
Top Bottom