Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2.

Binti yake Khorry Ramey(19) amezuhiliwa kushuhudia adhabu hiyo, licha ya bwana Kelvin kutaka binti yake ashuhudie nyakati za mwisho za baba yake(Excution). Kutokana na sheria za jimbo la Missouri, mtu mwenye chini ya umri wa miaka 21 haruhusiwi kushuhudia adhabu ya kifo.

Bwana Kelvin alihukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumpiga risasi Wlliam McEntee, askari aliyekuwa katka majukumu yake huko Kirkwood katika jimbo la Missouri nchini Marekani.

Adhabu ya kifo ilifutwa na mamlaka ya majimbo nchini marekani tangu mwaka 1972 na hatimae 1988 ilibatilishwa. Adhabu ya kifo irudishwa rasmi mnamo mwaka 2003 na hukumu ya kwanza ilikuwa dhidi ya Louis Jones Jr, 53, mbabe wa vita vya Ghuba aliyemuua Askari.

Kuna aina zisizopungua tano(5) za adhabu ya kifo nchini marekani(Death Penalties) huku ile maarufu kabisa ikiwa Kudungwa sindano ya sumu(Lethal Injection), adhabu nyingine ni kama kupigwa risasi(Gnshoot), lethal gas, electric chair, kunyongwa(Hanging) n.k.

Takribani majimbo 29 yanatekeleza adhabu ya kifo nchini marekani, huku jimbo la Calfornia likiwa kinara wa adhabu nyingi zaidi.View attachment 2429013
What is the underlying message of this story?
 
USA wananyonga watu harafu baadae wanakuja kuwasafisha tena kuwa hawana hatia bora wangefuta hiyo huku yao huko...
 
Kwa taarifa tu nilizopokea mpaka leo hii alfajiri ni kwamba bwana Kelvin Johnson atachomwa sindano ya sumu badala ya kunyongwa hapo kesho. Ikumbukwe kuwa Lethal injection ndio adhabu maarufu sana ikitokea victim hakychagua aina ya kifo anachota.ka.
Sindano ya sumu huwa inakuwa ni combination ya aina tatu mpk nne za kemikali sumu ambazo hufanya kazi taratibu kwa kupoozesha mwili na mfumo wa fahamu, kufelisha viungo ktk ufanyaji kazi wake na mwisho kusimamisha mapigo ya moyo.

What is the underlying message of this story?
The messge behind this story is just to inform the world about the death sentences that are carried out in the world, that sometimes are againsts the human rights. But we as human beings we get lesson here that we must live in this World to obey and please God and to stay away from bad habits and risk factors that can endanger our life or affect us like not to do bad things to others like killing, oppressing like what kELVIN JOHNSON did becoz what goes around comes around.
 
Missourri Capital Punishment Lae(MCPL) for death Senteces wametoa baadhi ya picha na mahojiano mafupi aliyoyafanya bwana Kelvin Johson kwenye Death Row.👇
Hapa bwana KELVIN akiwa kwenye Death Row kabla ya mahojiano. Death Row ni chumba maalum ambacho wafungwa wanaosubiria kuuwawa ndio huwekwa.
 

Attachments

  • IMG_COM_20221128_1022_01_2073.jpg
    IMG_COM_20221128_1022_01_2073.jpg
    22.5 KB · Views: 6
KJ in D R, early yesterday
img_com_20221128_1022_01_2073-jpg.2429678


Pichani chini ni Kitanda maalumu kitakachotumika katika kifo hicho(Excution Bed).
 

Attachments

  • IMG_COM_20221128_1022_01_1480.jpg
    IMG_COM_20221128_1022_01_1480.jpg
    17.9 KB · Views: 6
VIDEO: Video hii inaomuonesha bwana Kelvin Johson akielezea hukumu yake na anavyojisikia kabla ya kutekelezwa kwa hukumu mwisho mwa week iliyopita.
Nafasi hii ya kutoa kauli ya mwisho na kuhojiwa hufanyika hata siku ya mwisho ya hukumu il kutoa nafasi kwa mtu huyu kutoa yale yote ya moyoni na kutubu.
 

Attachments

  • _ClemencyForKJ - Kevin Johnson on Death Row_ Missouri(360P).mp4
    1.5 MB
Hivi wapewa adhabu ya kifo ndani ya Marekani huwa ni watu weusi tu?
Watu weusi marekani ndiyo wanaaribifu kuliko jamii nyingine, wao kila wakati wanahisi wanabaguliwa.
 
Na hapo amekaa jela miaka rundo,angekuwa mtaani huyu si angekuwa na wajukuu angalau 20 kwa sasa? Civilization ya wamarekani weusi si tofauti na ya waswahili wa msanga ngongele,msichana wa miaka chini ya 20 kuwa mama ni kukosa ustaarabu
Ila mwanangu umelishwa vilivyo elimu na madesa ya kimagharibi kiasi kwamba unaanza kutuaminisha mwenye 20 yrs kuzaa si ustaarabu. Hivi ustaarabu Ni Nini?
Ni ajabu kwamba pengine unapinga msichana wa 20 year's kua na mtoto lakini unashabikia afanye ngono kwa kondom na wanaume wengi Kama washkaji zake.
Lakini pia Aya za uandishi wako zinaleta picha moja chafu kwamba kwa siku zijazo utaanza kutuaminisha usagaji na lqbtq Ni tabia za kistaarabu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom