Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa pesa haramu anazodaiwa kumlipa nyota wa filamu za ngono

Former US President Donald Trump will be charged with a crime over allegations he covered up hush money payments to ex-porn actress Stormy Daniels.
Ms Daniels claims she and Mr Trump had sex, and that she accepted $130,000 (£100,000) from his former lawyer before the 2016 election in exchange for her silence on the encounter.
The lawyer, Michael Cohen, was later jailed on multiple charges.
The former president has denied he had any sexual involvement with Ms Daniels since the allegations surfaced in 2018.
 
Trump ana makandokando sana
Kisheria si sawa kutumia pesa ulizokusanya kwa ajili ya kampeni kumlipa mtu ili asiweke ukweli hadharani.

Isingekuwa malipo ameyafanya katikati ya kampeni kusingejuwa na kosa.
Pili alifunika hayo malipo kuonesha ni malipo ya kawaida kuhusiana na kampeni.
 
Naona Newyork wameanza weka barricades

Hiyo Jumanne hapatatosha maana Trump supporters, waandishi wa habari watajaa kweli kweli.

Kwani itabidi achukuliwe prints, apigwe mugshot, apelekwe mahakamani
 
Naona Newyork wameanza weka barricades

Hiyo Jumanne hapatatosha maana Trump supporters, waandishi wa habari watajaa kweli kweli.

Kwani itabidi achukuliwe prints, apigwe mugshot, apelekwe mahakamani
Kilichotokea hapa NY ni tofauti sana na matarajio ya wengi.
 
Hii issue ingekuwa ni hapa kwetu umgesikia kelele kuwa wapimzani wanaonewa
 
Hii mi Askari iliyomdaka Trump ni mi giant sipati picha siku yamemtia mikononi Putin yanambeba mzobe mzobe kumpeleka the Hague.[emoji1787]
 
Mashtaka ya kutengeneza,wanamhofia atawapiga chini uchaguzi ujao

Atawashinda
 
Hii mi Askari iliyomdaka Trump ni mi giant sipati picha siku yamemtia mikononi Putin yanambeba mzobe mzobe kumpeleka the Hague.[emoji1787]
Wamemdakaje wakati kaenda mwenyewe na private jet.

Mwamba anawapiga chini kwenye kesi na anaenda shinda uchaguzi mwaka ujao
 
Wamemdakaje wakati kaenda mwenyewe na private jet.

Mwamba anawapiga chini kwenye kesi na anaenda shinda uchaguzi mwaka ujao
Jet iliishiia uwanja wa ndege tu baada ya hapo akawa chini ya ulinzi na kuchukuliwa fingerprint pamoja na mugshot, walichomuonea huruma ni kutompiga bangili tu wkt anaelekea court room.
 
Jet iliishiia uwanja wa ndege tu baada ya hapo akawa chini ya ulinzi na kuchukuliwa fingerprint pamoja na mugshot, walichomuonea huruma ni kutompiga bangili tu wkt anaelekea court room.
Next year ndio Rais huyo baada ya Biden.
Hizi ni sarakasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…