Marekani Dunia anaionaje?

Marekani Dunia anaionaje?

Hii Dunia imekaa kimchongo chongo,ukitaka haki utaipata mbinguni sio hapa Duniani.
Ww angalia Israel ana silaa za nyukilia,lakini Iran wanampiga vita asiwe nazo.sasa unajiuliza kwa nini Israel aruhusiwe Iran asiruhusiwe.
Unataka na vichaa waruhusiwe kumiliki silaha mkuu?
 
Back
Top Bottom