BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo.
Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama mkurugenzi, kulingana na jalada jipya.
Hatua hiyo ilichukuliwa wiki iliyopita kama sehemu ya ununuzi wa Bw Musk wa dola bilioni 44 wa kampuni hiyo, kwa mujibu wa na jalada hilo hilo la SEC, ambalo limewekwa wazi leo Jumatatu.
Hapo awali bodi hiyo ilikuwa imejumuisha mwenyekiti wake, Bret Taylor, pamoja na mtendaji mkuu aliyefukuzwa Parag Agrawal. Kwa jumla, ilijumuisha wakurugenzi tisa.
Ni moja tu ya mabadiliko makubwa ambayo Bw Musk tayari amefanya, ndani ya siku chache baada ya kununua na kuchukua kampuni.