Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Wabongo ni watu wa hovyo. Ujuaji mwingi kwenye vitu wasivyo vifahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umefafanua vyema. Bado nasisitiza musk ni mbunifu ana pesa ya kuitangaza na nimapema sana kuanza kusema eti amechemka. Katika ulimwengu wa viwanda na makamouni ya magari ambayo yana majina makubwa tangu enzi na enzi tizama yeye amekuja na brand yake ya magari ya umeme na tayari magari yake yana jina ulimwenguniMuda ni mwalimu mzuri
Addiction to inflation inaenda kukumbana na kikwazo. Hali ya maisha watu wanataka mabadiliko yenye kuwaletea unafuu.
Faceboik bado anatrend kwa sababu ya matangazo rahisi ya biashara.
Twitter akija na idea mpya zaidi ya spaces utaona namna ubunifu unavyoweza kusababisha watumiaji kurudisha fikra zao. Intellectuals wanaweza kuitumia kwa malengo yao. Wakulima na wajasiriamali wanaweza kujikuta wanaihitaji sana kwa malengo yao.
Akianzisha communities ehnacements kama social mini-platforms zinazojiendesha kama webpages. Akaanzisha secured emails, na peer to peer kama whatsapp utajikuta unakimbilia kuitumia kuliko sasa ambapo wamiliki wake walikuwa oldfashioned na conservatives by nature
Nashangaa umiliki wake kwa twita hauna hata miezi sita watu wamesha assess na kuja na hitimisho kuwa musk kachemshaWabongo mnajikuta wajuaji Sana , mtu ambaye Taifa la Marekani linamtegemea kwenye operations nyeti kabisa , mnaona amekrupuka , duniani kote billionares wanakuwa boosted na serikali , huwez kutoboa kufika level ya billionares bila mkono wa serikali , na alichokifanya hajskrupuka ni inside mission , na matokeo mtayaona soon ....!!
Kalinunua Twitter bila kupenda...jamaa walimtwisti mahakaman...Nashangaa umiliki wake kwa twita hauna hata miezi sita watu wamesha assess na kuja na hitimisho kuwa musk kachemsha