Marekani: Elon Musk avunja Bodi ya Wakurugenzi ya Twitter

Wabongo ni watu wa hovyo. Ujuaji mwingi kwenye vitu wasivyo vifahamu.
 
Bora umefafanua vyema. Bado nasisitiza musk ni mbunifu ana pesa ya kuitangaza na nimapema sana kuanza kusema eti amechemka. Katika ulimwengu wa viwanda na makamouni ya magari ambayo yana majina makubwa tangu enzi na enzi tizama yeye amekuja na brand yake ya magari ya umeme na tayari magari yake yana jina ulimwenguni
 
Nashangaa umiliki wake kwa twita hauna hata miezi sita watu wamesha assess na kuja na hitimisho kuwa musk kachemsha
 
Nashangaa umiliki wake kwa twita hauna hata miezi sita watu wamesha assess na kuja na hitimisho kuwa musk kachemsha
Kalinunua Twitter bila kupenda...jamaa walimtwisti mahakaman...
 
Twitter ilikuwa controlled na left wing/liberals , uhuru wa maoni hasa yanayoshahabiana na conservatives ulikuwa haupo.

Kama elon ataweza kuifanya twitter iwe platform huru kwa watu wote atafanikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…