Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes.

Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland.

Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na 2024–25.

Hakuna jipya chini ya jua

Anachofanya trump ni sera na matamanio ya Marekani na siyo matakwa yake binafsi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes.

Marekani ilitoa ofa ya dollar million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland.

Hakuna jipya chini ya jua
Wanaitaka na Canada pia 🤣🤣😀
 
Screenshot_20250108_221322_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom