Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

Siku taalamu ikianza kulipa kuliko siasa ndiyo jibu tutapata
you killed it!
Anaokotwa mpiga kelele mtaani, napewa Ukuu wa Mkoa, ana elimu ya form four ya divion 4.28 na amerisiti zaidi ya miaka 5 bila kupata credit, anafanya ziara hospitali ya Rufaa anakuta daktari bingwa wa magonjwa ya moyo ambapo kwa Tanzania wapo wawili tu, anamuita daktari kwenye kikao kama mtoto, daktari anatetemeka, anakemewa , anabishwa mbele ya surbodinate wake. Daktari anaambiwa akatwe mshahara nusu kufidia hasara fulani; Daktari huyu mshahara ni milioni 2.5 wakati huyu mkuu wa mkoa ana mshahara wa milioni 8.4

#Lini taaluma itaheshimika.
 
Tazama degree (Phds) za Obama
 
Ndiyo ukubali mfumo ni wa kijinga sn
 
Afrika is a dark continent.
We need new colonialism to awaken us.
 
Uzi bora kabisa wa leo! mods piga pini nyuzi zingine zote za leo tuishi na huu uzi basi.
 
Sawasawa πŸ‘ πŸ‘
 
Ujazo vs ubora. Tusilaumu kitu, tunaochagua ni sisi wananchi kwa hiyo mambo yakienda kombo tuanze kwanza kujipa lawama sisi wapiga kura.
 
Usilinganishe tamaduni za watu tofauti. Sio lazima sisi tuwe kama wao, na wao wawe kama sisi.
Wao baba au mama unaweza kumuita kwa jina lake la kwanza, hapa Afrika unaweza muita baba yako wewe John?
Wao wanaruhusu kuoana wanaume kwa wanaume fresh tu, uko radhi hayo yatokee Afrika,
Wewe unaweza kuogelea na mama yako na dada yako wakiwa kwenye vazi la ufukweni?
Acha ulimbukenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…