Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Msukuma anaitwa Dr ana elimu gani? acha ushamba PhD ya heshima hata kama hujui kusoma na kuandika unapewaWe nae mwinyi hakuna na elimu kiivyo alikuwa form six sasa angetumia title gani nyerere alitumia title yake ya mwalimu..
Nakubaliana na hoja yako mkuuIli wananchi wao wawatambue kuwa wamesoma maana waafrika tunawaamini sana watu waliosoma hatakama hawana ujuzi na kazi au nyazifa tunazowapa
Mbona nilisikia kipindi Joe Biden anatwaa madaraka Hillary Clinton alimu address Dr Biden, au hao JD nao wanatumia title ya Dr?Hapana. Obama, Clinton, na Biden hawana PhD.
Wana JD, ambayo ni Juris Doctor.
Juris Doctor si sawa na PhD.
Juris Doctor ni shahada ya sheria Marekani. Kila mwanafunzi anayehitimu shule ya sheria Marekani hutunukiwa JD.
PhD ni research doctorate.
Nadhani kinachowafanya mdhani kuwa Obama ana PhD ya sheria ni hilo jina la Juris Doctor.
Kwa taarifa yako, kila wakili Marekani ana JD. Hata wale DUI lawyers nao wana JD. Divorce lawyers nao wana JD.
JD si sawa na PhD.
Utakuwa umechanganya!Mbona nilisikia kipindi Joe Biden anatwaa madaraka Hillary Clinton alimu address Dr Biden, au hao JD nao wanatumia title ya Dr?
Kwa wenzetu kusoma sana ni kwenda kutoa huduma muhimu aliyoisomea mhusika kwa wanaoihitaji hiyo huduma ili elimu kubwa yenye manufaa iwafikie wananchi wenzao wengi zaidi ili nchi zao zisonge mbele zaidi kimaendeleo kwa haraka zaidi,Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington.
Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya cheo chake.
Je, ni ulimbukeni kutumia phD, CPA, Advocate kwenye majina ya marais? Je, haya majina wanayojipa kwenye vyeo vyao yana-reflect maendeleo kwenye nchi zao?
OBAMA [Profesa wa Sheria]
LIST YA MARAIS WOTE WA MAREKANI.
MADAKTARI WALIKUWA HAWA.
- George Washington (1789-1797)
- John Adams (1797-1801)
- Thomas Jefferson (1801-1809)
- James Madison (1809-1817)
- James Monroe (1817-1825)
- John Quincy Adams (1825-1829)
- Andrew Jackson (1829-1837)
- Martin Van Buren (1837-1841)
- William Henry Harrison (1841)
- John Tyler (1841-1845)
- James K. Polk (1845-1849)
- Zachary Taylor (1849-1850)
- Millard Fillmore (1850-1853)
- Franklin Pierce (1853-1857)
- James Buchanan (1857-1861)
- Abraham Lincoln (1861-1865)
- Andrew Johnson (1865-1869)
- Ulysses S. Grant (1869-1877)
- Rutherford B. Hayes (1877-1881)
- James A. Garfield (1881)
- Chester A. Arthur (1881-1885)
- Grover Cleveland (1885-1889)
- Benjamin Harrison (1889-1893)
- Grover Cleveland (1893-1897)
- William McKinley (1897-1901)
- Theodore Roosevelt (1901-1909)
- William Howard Taft (1909-1913)
- Woodrow Wilson (1913-1921)
- Warren G. Harding (1921-1923)
- Calvin Coolidge (1923-1929)
- Herbert Hoover (1929-1933)
- Franklin D. Roosevelt (1933-1945)
- Harry S. Truman (1945-1953)
- Dwight D. Eisenhower (1953-1961)
- John F. Kennedy (1961-1963)
- Lyndon B. Johnson (1963-1969)
- Richard Nixon (1969-1974)
- Gerald Ford (1974-1977)
- Jimmy Carter (1977-1981)
- Ronald Reagan (1981-1989)
- George H. W. Bush (1989-1993)
- Bill Clinton (1993-2001)
- George W. Bush (2001-2009)
- Barack Obama (2009-2017)
- Donald Trump (2017-2021)
- Joe Biden (2021-present)
1. James Madison
2. William Henry Harrison
3. Andrew Johnson:
MAWAKILI/WANASHERIA
1. Barack Obama: Obama alipata digrii yake ya sheria kutoka Shule ya Sheria ya Harvard na alifanya mazoezi ya sheria huko Illinois kabla ya kuingia katika siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 44 wa Merika kutoka 2009 hadi 2017.
2.Bill Clinton: Clinton alipata digrii yake ya sheria kutoka Shule ya Sheria ya Yale na alifanya mazoezi ya sheria huko Arkansas kabla ya kuingia katika siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 42 wa Merika kutoka 1993 hadi 2001.
3. Gerald Ford: alipata digrii yake ya sheria Yale Law School and practiced law in Michigan kabla ya kuingia kwenye siasa . Alikuwa raisi wa 38 US tangu 1974 to 1977.
4. Richard Nixon: alipata digrii yake ya sheria Duke University Law School and practiced law in California kabla ya kuingia kwenye siasa. He served as the 37th President of the United States from 1969 to 1974.
5. Franklin D. Roosevelt: Roosevelt alihudhuria Shule ya Sheria ya Columbia lakini hakumaliza shahada yake ya sheria. Alifanya sheria kwa muda mfupi kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 32 wa Merika kutoka 1933 hadi 1945.
6 Thomas Jefferson: Jefferson pia alikuwa mwanasheria kitaaluma. Alilazwa katika baa ya Virginia mnamo 1767 na akafanya sheria kwa miaka kadhaa kabla ya kuingia kwenye siasa. Jefferson aliwahi kuwa Rais wa tatu wa Merika kutoka 1801 hadi 1809.
7. James Madison: Madison alipata elimu yake ya kisheria kutoka Chuo cha William na Mary na alifanya sheria huko Virginia. Alikuwa mmoja wa waandishi wa msingi wa Katiba ya Merika na aliwahi kuwa Rais wa nne wa Amerika kutoka 1809 hadi 1817.
8. James Monroe: Monroe alisoma sheria chini ya Thomas Jefferson na kufanya sheria huko Virginia. Aliwahi kuwa Rais wa tano wa Merika kutoka 1817 hadi 1825.
9. John Quincy Adams: Adams alikuwa mwanasheria aliyeelimishwa na Harvard ambaye alitekeleza sheria kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kuwa Rais wa sita wa Merika kutoka 1825 hadi 1829.
10. Andrew Jackson: Jackson alianza kusomea sheria katika ujana wake na alilazwa katika baa ya North Carolina mwaka wa 1787. Alifanya mazoezi ya sheria huko Tennessee na aliwahi kuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia 1829 hadi 1837.
11. Abraham Lincoln: Lincoln ni mmoja wa wakili-marais maarufu katika historia ya U.S. Alifanya mazoezi ya sheria huko Illinois na aliwahi kuwa Rais wa 16 wa Merika kutoka 1861 hadi 1865.
12. Franklin Pierce: Pierce alihudhuria shule ya sheria katika Chuo cha Bowdoin na alifanya mazoezi ya sheria huko New Hampshire. Aliwahi kuwa Rais wa 14 wa Merika kutoka 1853 hadi 1857.
13. Benjamin Harrison: Harrison alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Miami na kufanya mazoezi ya sheria huko Indiana. Aliwahi kuwa Rais wa 23 wa Merika kutoka 1889 hadi 1893.
14.Rutherford B. Hayes: Alisoma Harvard Law School na kufanya kazi Ohio. Alikuwa raisi wa 19 wa Marekani toka 1877 mpaka 1881.
15. William Howard Taft: Alisoma chuo cha Yale akifanya kazi huko Ohio. Alikuwa raisi wa 27 tangu 1909 to 1913 na baadae akawa jaji mkuu wa Marekani .
16. Calvin Coolidge: Alisoma Law na kuwa wakili huko Massachusetts. Alifanya kazi za uwakili kabla ya kuingia kwenye siasa na kuwa raisi wa 30 tangu 1923 to 1929.
17. Woodrow Wilson: Wilson alisoma shule ya sheria kwa vitendo Chuo kikuu Virginia na kufanya kazi ya uwakili,alikuwa raisi wa 28 wa marekani toka 1913 mpaka 1921.
18. Chester A. Arthur: Arthur practiced law in New York City before entering politics. He served as the 21st President of the United States from 1881 to 1885.
19.Grover Cleveland: Cleveland studied law and was admitted to the bar in 1859. He practiced law in New York and served as the 22nd and 24th President of the United States from 1885 to 1889 and again from 1893 to 1897.
20. Chester A. Arthur: Alikuwa wakili New York City kabla hajaingia siasani. Akawa raisi wa 21wa Marekani toka 1881 mpaka 1885.
Hao wote, madaktari, CPA, MAprofessor na Mawakili hawatumii tittle zao, kwanini Afrika ?
Kwanini Maraisi wa kisasa , hasa Afrika wanapenda recognition ya udaktari ?
Kazi kweli kweliNa viongozi wa Afrika ndio wanaongoza kwa kuzitaka , wakikutana Umoja wa Mataifa pale US-New York , kila Rais wa Afrika akisimama utaskia Hon Doctor ABC, alafu anaenda kukopa kwa mtu ambaye hana hiyo doctor, professa etc.
VIJANA tutor wanafanya masters na phD ili wateuliwe kwenye bodi na nyadhifa za kisiasa. Kila mtu anawaza pa kupiga maana sisi ni vipofu.Kwa wenzetu kusoma sana ni kwenda kutoa huduma muhimu aliyoisomea mhusika kwa wanaoihitaji hiyo huduma ili elimu kubwa yenye manufaa iwafikie wananchi wenzao wengi zaidi ili nchi zao zisonge mbele zaidi kimaendeleo kwa haraka zaidi,
Kwetu sisi mbobezi wa masuala ya Nyuklia anaacha kazi yake ili aende akapate cheo kikubwa cha kisiasa !
Kwetu sisi mbobezi katika nyanja za Injinia anaacha kazi yake anaenda kutafuta cheo cha kisiasa !!
Yote hiyo ni kwa sababu hatusomi kwa maana ya kupata elimu ili ije iwe ni chachu ya maendeleo kwa Nchi zetu bali husoma ili kutafuta fursa ya kupata mali nyingi tuweze kula Bata kiulaini !
Hatari sana !!VIJANA tutor wanafanya masters na phD ili wateuliwe kwenye bodi na nyadhifa za kisiasa. Kila mtu anawaza pa kupiga maana sisi ni vipofu.
Dah, wewe ni noma.
Ubeberu-ology...Niulize swali hapa:
Kuna elimu inaitwa Egyptology, yaani elimu kuhusu Egypt. Elimu kuhusu Marekani, inaitwaje? Americanology? Watu waliosomea mambo ya taifa la Marekani, discipline yao inaitwaje?
Sio shida. Kwanza Makanyaga Kakosea kidogo John Adams hana udugu na Andrew Jackson.Familia Mbili zilizoshi/Zitazoshika urais Tanzania :
1. Ali Hassa Mwinyi- Rais wa Tanganyika
2. Hussein Mwinyi- Rais wa Zanzibar
1. Abei Karume
2. Karume JR.
1. Samia Suluhu.
2................Hafith Hassan 2030-35[Zanzibar]
Nani muasisi wa huo ujinga hapa TZ?Ni ujinga, Mbona Mkapa, Mwinyi na Nyerere hawakutumia huo ujinga?
Inasababishwa na kutojiamini tuMarekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington.
Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya cheo chake.
Je, ni ulimbukeni kutumia phD, CPA, Advocate kwenye majina ya marais? Je, haya majina wanayojipa kwenye vyeo vyao yana-reflect maendeleo kwenye nchi zao?
OBAMA [Profesa wa Sheria]
LIST YA MARAIS WOTE WA MAREKANI.
MADAKTARI WALIKUWA HAWA.
- George Washington (1789-1797)
- John Adams (1797-1801)
- Thomas Jefferson (1801-1809)
- James Madison (1809-1817)
- James Monroe (1817-1825)
- John Quincy Adams (1825-1829)
- Andrew Jackson (1829-1837)
- Martin Van Buren (1837-1841)
- William Henry Harrison (1841)
- John Tyler (1841-1845)
- James K. Polk (1845-1849)
- Zachary Taylor (1849-1850)
- Millard Fillmore (1850-1853)
- Franklin Pierce (1853-1857)
- James Buchanan (1857-1861)
- Abraham Lincoln (1861-1865)
- Andrew Johnson (1865-1869)
- Ulysses S. Grant (1869-1877)
- Rutherford B. Hayes (1877-1881)
- James A. Garfield (1881)
- Chester A. Arthur (1881-1885)
- Grover Cleveland (1885-1889)
- Benjamin Harrison (1889-1893)
- Grover Cleveland (1893-1897)
- William McKinley (1897-1901)
- Theodore Roosevelt (1901-1909)
- William Howard Taft (1909-1913)
- Woodrow Wilson (1913-1921)
- Warren G. Harding (1921-1923)
- Calvin Coolidge (1923-1929)
- Herbert Hoover (1929-1933)
- Franklin D. Roosevelt (1933-1945)
- Harry S. Truman (1945-1953)
- Dwight D. Eisenhower (1953-1961)
- John F. Kennedy (1961-1963)
- Lyndon B. Johnson (1963-1969)
- Richard Nixon (1969-1974)
- Gerald Ford (1974-1977)
- Jimmy Carter (1977-1981)
- Ronald Reagan (1981-1989)
- George H. W. Bush (1989-1993)
- Bill Clinton (1993-2001)
- George W. Bush (2001-2009)
- Barack Obama (2009-2017)
- Donald Trump (2017-2021)
- Joe Biden (2021-present)
1. James Madison
2. William Henry Harrison
3. Andrew Johnson:
MAWAKILI/WANASHERIA
1. Barack Obama: Obama alipata digrii yake ya sheria kutoka Shule ya Sheria ya Harvard na alifanya mazoezi ya sheria huko Illinois kabla ya kuingia katika siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 44 wa Merika kutoka 2009 hadi 2017.
2.Bill Clinton: Clinton alipata digrii yake ya sheria kutoka Shule ya Sheria ya Yale na alifanya mazoezi ya sheria huko Arkansas kabla ya kuingia katika siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 42 wa Merika kutoka 1993 hadi 2001.
3. Gerald Ford: alipata digrii yake ya sheria Yale Law School and practiced law in Michigan kabla ya kuingia kwenye siasa . Alikuwa raisi wa 38 US tangu 1974 to 1977.
4. Richard Nixon: alipata digrii yake ya sheria Duke University Law School and practiced law in California kabla ya kuingia kwenye siasa. He served as the 37th President of the United States from 1969 to 1974.
5. Franklin D. Roosevelt: Roosevelt alihudhuria Shule ya Sheria ya Columbia lakini hakumaliza shahada yake ya sheria. Alifanya sheria kwa muda mfupi kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kuwa Rais wa 32 wa Merika kutoka 1933 hadi 1945.
6 Thomas Jefferson: Jefferson pia alikuwa mwanasheria kitaaluma. Alilazwa katika baa ya Virginia mnamo 1767 na akafanya sheria kwa miaka kadhaa kabla ya kuingia kwenye siasa. Jefferson aliwahi kuwa Rais wa tatu wa Merika kutoka 1801 hadi 1809.
7. James Madison: Madison alipata elimu yake ya kisheria kutoka Chuo cha William na Mary na alifanya sheria huko Virginia. Alikuwa mmoja wa waandishi wa msingi wa Katiba ya Merika na aliwahi kuwa Rais wa nne wa Amerika kutoka 1809 hadi 1817.
8. James Monroe: Monroe alisoma sheria chini ya Thomas Jefferson na kufanya sheria huko Virginia. Aliwahi kuwa Rais wa tano wa Merika kutoka 1817 hadi 1825.
9. John Quincy Adams: Adams alikuwa mwanasheria aliyeelimishwa na Harvard ambaye alitekeleza sheria kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kuwa Rais wa sita wa Merika kutoka 1825 hadi 1829.
10. Andrew Jackson: Jackson alianza kusomea sheria katika ujana wake na alilazwa katika baa ya North Carolina mwaka wa 1787. Alifanya mazoezi ya sheria huko Tennessee na aliwahi kuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia 1829 hadi 1837.
11. Abraham Lincoln: Lincoln ni mmoja wa wakili-marais maarufu katika historia ya U.S. Alifanya mazoezi ya sheria huko Illinois na aliwahi kuwa Rais wa 16 wa Merika kutoka 1861 hadi 1865.
12. Franklin Pierce: Pierce alihudhuria shule ya sheria katika Chuo cha Bowdoin na alifanya mazoezi ya sheria huko New Hampshire. Aliwahi kuwa Rais wa 14 wa Merika kutoka 1853 hadi 1857.
13. Benjamin Harrison: Harrison alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Miami na kufanya mazoezi ya sheria huko Indiana. Aliwahi kuwa Rais wa 23 wa Merika kutoka 1889 hadi 1893.
14.Rutherford B. Hayes: Alisoma Harvard Law School na kufanya kazi Ohio. Alikuwa raisi wa 19 wa Marekani toka 1877 mpaka 1881.
15. William Howard Taft: Alisoma chuo cha Yale akifanya kazi huko Ohio. Alikuwa raisi wa 27 tangu 1909 to 1913 na baadae akawa jaji mkuu wa Marekani .
16. Calvin Coolidge: Alisoma Law na kuwa wakili huko Massachusetts. Alifanya kazi za uwakili kabla ya kuingia kwenye siasa na kuwa raisi wa 30 tangu 1923 to 1929.
17. Woodrow Wilson: Wilson alisoma shule ya sheria kwa vitendo Chuo kikuu Virginia na kufanya kazi ya uwakili,alikuwa raisi wa 28 wa marekani toka 1913 mpaka 1921.
18. Chester A. Arthur: Arthur practiced law in New York City before entering politics. He served as the 21st President of the United States from 1881 to 1885.
19.Grover Cleveland: Cleveland studied law and was admitted to the bar in 1859. He practiced law in New York and served as the 22nd and 24th President of the United States from 1885 to 1889 and again from 1893 to 1897.
20. Chester A. Arthur: Alikuwa wakili New York City kabla hajaingia siasani. Akawa raisi wa 21wa Marekani toka 1881 mpaka 1885.
Hao wote, madaktari, CPA, MAprofessor na Mawakili hawatumii tittle zao, kwanini Afrika ?
Kwanini Maraisi wa kisasa , hasa Afrika wanapenda recognition ya udaktari ?
Mtu kazaliwa 1925 haya mambo ya Form 6 aliyakuta kweli? Au mimi ndio sielewi.We nae mwinyi hakuna na elimu kiivyo alikuwa form six sasa angetumia title gani nyerere alitumia title yake ya mwalimu..