Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

Sijakosea. Unachokisema vwewe ndiyo KILE AMBACHO nimeandika

 
Hata Tanzania hakuna Rais aliewahi kuwa na PHD, wote ni za kupewa kwa heshima halafu machawa wanambadilisha na kumuiya Dr. Hata JPM alipata ya kubumba pale UD, kila kitu alifanyiwa. Wanasiasa wengi TZ wanatafuta PHD za kubumba ili apate cheo, mfano Mwigulu awezi kufanya presentation ya uchumu kwenye jopo la wasomi
 
Na viongozi wa Afrika ndio wanaongoza kwa kuzitaka , wakikutana Umoja wa Mataifa pale US-New York , kila Rais wa Afrika akisimama utaskia Hon Doctor ABC, alafu anaenda kukopa kwa mtu ambaye hana hiyo doctor, professa etc.

Mimi usiponiita Engineer D
Sikuitikii na Sifanyi unalotaka nifanye…[emoji23][emoji23][emoji3]
Over…Allaaaa
Kwani Ukiniita Engineer utapungukiwa na Nini???
Wivu tuuu??
Hebu ita Engineer D
Naaam!
Sema?
Tena Ngoja Tukazie watuongezee Seminar za ERB zaidi!
Tukaliongelee hili…
Tena Ita Professional Engineer D.[emoji2957]
Yaani P.Eng. D
 
Eti hata yule naye ni Daktari wakati matokeo yake hayaeleweki
 
Reason ni kwamba upumbavu,ujinga na ushamba bado ni mwingi afrika kuzidi sehemu zingine za dunia,na professionalism mtu huipata ili atambulike na si aitumie kuleta positive impact kwenye jamii ndo maana hupenda ajulikane yeye ni dr, wakili, injinia n. K for show off. Mambo haya ni kinyume kabisa kwa watu wa sehemu zingine nje ya afrika.
 
Marekani hawajimbulishi kwa academic titles isipokuwa za wanajeshi na za waganga tu. Mtu hawezi kuamka akajitambulisha kuwa mimi ni Injinia Kichuguu, au mimi ni Profesa Kichuguu, au mimi CPA Kichuguu, au Mimi ni Wakili Msomi Kichuguu. Title hujionyesha zenyewe wanapoandika majina yao: Kwa mfano Kichuguu, PE; Kichuguu, PhD; au Kichuguu, JD, Esq; Kichuguu CPA. Waganga ndio wanaoitwa Dr Kichuguu kwa sababu ya kazi zao siyo kwa sababu ya academic credentials. Vile vile wanajeshi watambulika vivyo Col Kichuguu, Let Gen Kichuguu na kadhalika kwa sababu ya hierarchy za kijeshi. Wakiingia kwenye siasa wanaacha kutumia titles hizo

Katika wanasiasa wote wa marekani ninajua katika miaka ya hivi karibuni, ni Dr Henmry Kissinger tu ndiye aliyejulikana kwa title ya Dr. Kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa Profesa wa Harvard University. Lakini wengine wote hawatumii academic titles. Watu wenye academic credentials za nguvu waliowahi kufanya kazi za kisiasa siku za nhivi karibuni ni pamoja Condoleeza Rice, Steven Chu ( huyu ana Nobel Prize) , David Petreaus (pamoja na kuwa general ana PhD ya nguvu) hawakutumia credintial za nje ya vyeo vyao vya kisiasa kama secretary Rice, secretary Chu na Director Peteraus
 
Haina shida. Nilirekebisha pale ulipomuhusisha John Adams na Andrew Jackson. Au ni familia moja? Kama ndio basi nilikuwa sijui na list inaongezeka.
Rais wa pili na wa sita walitoka familia moja kama ilivyokuwa kwa akina Bush
 
Alafu mbona naona karibu marais wote wa marekani ni wanasheria mbona sisi uku ni walimu au tunakosea kuchagua viongozi wetu wawe walimu?
Sasa maskini a.k.a mnyonge anaambiwa achague mafiga matatu, ndio tunaletewa takataka.
 
Wananchi ndio mumewaendekeza viongozi wa nchi zenu, mtu mpaka anajiita profesa wa jalalani.
Kuna mwingine atajiita prof wa mafinyofinyo ya kule ofisini. Mama Angela Merkel PhD in Nuclear Chemistry na Wala hutosikia dokta sijui Nini lakini hapa kwetu Babu Tale kamnunilia mama ntilie sufuria mbili tayari akajiita Dr. Taletale kisa ame solve tatizo la ukosefu wa sufuria Kwa mama ntilie Hawa jamaa wanatia hasira unaweza m'bomoa mtu njia ya haha Nene na biological mallet basi tu.
 
Hahaaaa kama yule shetani aliyegonga punda alipopona hosp. Akamshukuru magufuli Kwa kupona Ile ajali
magufulimania, bado ipo kwa watu, hata AFANDE SELE anaamini Magufuli ndio raisi na anamlilia japo kishalambishwa asali na ka NGO cha kuchota fedha wizarani.
 
umenikumbusha, Angel Makel anakutana na mtoto kutoka Tanzania hajui hata kusoma anajiita dokta, kapewa udaktari chuo cha kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…