Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam Boehler.
===============
Five U.S.-Israeli hostages are held in Gaza, with one reportedly still alive. The White House said the talks are ongoing, after Hamas confirmed they have met several times with U.S. special envoy for hostage affairs Adam Boehler

*** Source: Haaretz.com search.app

View: https://x.com/suppressednws/status/1897368223403958547?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kwamba hao wengine ni marehemu, au wanamaanisha nn wanaposema still one is alive
 
Trump kwenye media anajifanya sina muda wa kukutana na magaidi wa Hamas kwa siri anawatuma CIA Qatar wayajenge na Hamas😅
 
Kwamba hao wengine ni marehemu, au wanamaanisha nn wanaposema still one is alive
US has been holding direct talks with Hamas regarding the release of US captives held in Gaza and the possibility of a broader deal to end the war, two sources tell Axios.

These talks, conducted by the US presidential envoy Adam Boehler, are unprecedented, as he held a meeting in Doha with Hamas officials a few weeks ago.

According to sources, Israel learned about some aspects of the talks through other channels, while the Trump administration consulted with Israel regarding the possibility of negotiating with Hamas.
 
Back
Top Bottom