Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga kuwafanyia wengine wasiofanana nao hasa wenye raslimali.
Je, hiki kitaifa kiduchu na cha hovyo, kweli kina nguvu au ni kikaragosi kinachotumiwa na wazungu kufanya majaribio jinsi ya kuangamiza wale wasiowataka hasa wenye raslimali na wasiojitambua kama waafrika na waarabu?