Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Yemen wako jirani zaidi, nadhani wamesha jitengenezea mazingira ya kupigana.Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga kuwafanyia wengine wasiofanana nao hasa wenye raslimali.
Je, hiki kitaifa kiduchu na cha hovyo, kweli kina nguvu au ni kikaragosi kinachotumiwa na wazungu kufanya majaribio jinsi ya kuangamiza wale wasiowataka hasa wenye raslimali na wasiojitambua kama waafrika na waarabu?
Yeye mwenyewe yupo njiani kusambaratika. Hakuna taifa duniani lilodumu miaka likawa na nguvuUkiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga kuwafanyia wengine wasiofanana nao hasa wenye raslimali.
Je, hiki kitaifa kiduchu na cha hovyo, kweli kina nguvu au ni kikaragosi kinachotumiwa na wazungu kufanya majaribio jinsi ya kuangamiza wale wasiowataka hasa wenye raslimali na wasiojitambua kama waafrika na waarabu?
Kipyenga cha Syria kishapulizwa,kata mti panda mti ndio mjue nguvu ya dollars.Yeye mwenyewe yupo njiani kusambaratika. Hakuna taifa duniani lilodumu miaka likawa na nguvu
waislam ni wangese sn , mnaanza wenyewe kushambulia wengine , vita ikipamba moto mnaanza mlaumu Marekani , kwann msiwe mnaishi bila kushambulia wengine , au mnahisi mna haki ya kushambulia wengine ? au ni Marekan huwa anawatuma kushambulia wengine ?Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga kuwafanyia wengine wasiofanana nao hasa wenye raslimali.
Je, hiki kitaifa kiduchu na cha hovyo, kweli kina nguvu au ni kikaragosi kinachotumiwa na wazungu kufanya majaribio jinsi ya kuangamiza wale wasiowataka hasa wenye raslimali na wasiojitambua kama waafrika na waarabu?
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk?
Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga kuwafanyia wengine wasiofanana nao hasa wenye raslimali.
Je, hiki kitaifa kiduchu na cha hovyo, kweli kina nguvu au ni kikaragosi kinachotumiwa na wazungu kufanya majaribio jinsi ya kuangamiza wale wasiowataka hasa wenye raslimali na wasiojitambua kama waafrika na waarabu?
Naunga mkono hoja japo sio wotewaislam ni wangese sn ,