Marekani ikitumia Section 7031(c) ina maana wana taarifa za UHAKIKA, mbali na Mafwele kuna majina mangapi mengine kwenye Faili?

Unawika ukiwa wapi wewe; wakati unajuwa kesho unakuwa kitoweo tu!
Watu wengine sijui akili zimwakaa vipi vichwani mwao.

Kuna lolote la kujivunia katika kazi zote za Samia hadi upoteze fahamu kiasi hiki?
Kwani kuwa na ufahamu ni kuipinga serikali?

Umechagua kuinanga serikali, mm nimechagua kuikubali serikali!
Shida iko wapi?
 
Very professional analysis..

Umefanya uchambuzi profesheno...

Na kweli, damu ya mtu iliyomwagwa na mtu haifutwi kwa propaganda na ulaghai...

Damu za binadamu (wana wa Mungu Yehova) zinanyamazishwa na ukiri wa ukweli na toba....

Namsikitikia sana huyu Mama Samia. Amezungukwa na wezi na wauaji wakimtumia kama ngao (shield) ya kufichia uharamia wa uovu wao huku yeye akidhani wanamsaidia kumbe wanampeleka shimoni kwenda kufa...

Laiti angekuwa mtu huru, angeshajinasua haraka sana kwenye mtego huu aliotegwa na anaodhani wasaidizi wake, kumbe ni mashetani ktk maumbo ya binadamu ambayo yamemfanya naye aonekane ni mwanamke shetani na muuaji...

I really feel sorry for her sometimes..

Mungu Baba wa mbinguni, mfungue macho ya ufahamu Samia Suluhu Hassan aone makosa yake, atubu na kujiponya nafsi yake na hivyo kuiponya nchi na taifa toka ktk hukumu ya hasira yako, katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai, AMEN🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Kwani kuwa na ufahamu ni kuipinga serikali?
Hivi wewe unajua hata maana ya "SERIKALI" kweli au unabwabwaja tu?

Kwa sababu ya ujinga wenu wa kukosa ufahamu na uelewa wa mambo, ndio maana mnaua watu...

Serikali hupingwa na hupongezwa au husifiwa pia...

Serikali ni kikundi kidogo tu cha watu kilichopewa dhamana na umma kusimamia mambo ya nchi au taifa kwa maslahi ya wote...

Inaweza kabisa kutokea serikali ikaundwa na watu wabaya (kama hii tuliyonayo sasa Tanzania chini ya CCM na Samia). Hii itapingwa, kunyimwa ushirikiano na kulaaniwa kwa nguvu zote na kila raia mwema nje na ndani ya taifa...

Pia inaweza kutokea tukawa na serikali halali nzuri inayotekeleza wajibu wake sawasawa kwa umma. Hiyo itasifiwa na kupewa ushirikiano wote na raia...
Umechagua kuinanga serikali, mm nimechagua kuikubali serikali!
Shida iko wapi?
Itanangwa sana kwa sbb inastahili kunangwa kwa kuwa ni serikali haramu, iliyojipa (impose) kwa wananchi kwa mtutu wa bunduki na kumwaga damu za watu...

Ni serikali isyo na ridhaa ya umma. Tutaipinga na kuinanga mchana na usiku, angani na ardhini na baharini pia mpaka ianguke na ili ije serikali mpya yenye ridhaa ya wananchi...

Una shida na hilo?

Yeah, una shida na hili, I know....

Na mnadhani suluhisho ni kuteka, kutesa na kuua....

I assure you Mr KERATO MOMBAA, kwamba, these evils are ending sooner than you expected and all culprits will pay the price with their own blood too. This is natural principle dude. You kill, you get killed too...!!

Tchaooooo.🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Kwani kuwa na ufahamu ni kuipinga serikali?

Umechagua kuinanga serikali, mm nimechagua kuikubali serikali!
Shida iko wapi?
Wewe unazungumzia serikali ipi hasa!; hii haramu anayoendesha mhalifu Samia kuwaumiza wananchi?
Kuna kipi cha kuunga mkono katika uozo huo unaoukazia shingo wewe!

Inaonyesha upungufu mkubwa katika fikra zako, kama hata huwezi kutambua serikali ni kitu gani.
Samia kwako ndiyo serikali?
 
yaani unang'ang'ana kusoma ramli na porojo useless, kweli gentleman?

utatoboa kweli kwa kubebwa ufala wa kifikra na kupumbazwa na wafuata mkumbo kirahisi hivyo badala ya kuchapa kazi mkono uingie kinywani kwako na kwa familia yako?🐒
Kazi yangu ngumu Mkuu🤣🤣 Imagine kujifanya tahira baada ya haya yote!
 
Kazi yangu ngumu Mkuu🤣🤣 Imagine kujifanya tahira baada ya haya yote!
na taaaaratibu utakua mwendawazimu kabla ya kua mwehu na hapo ndipo sasa unaweza kusaidika kwasababu jamii hatapendelea kua kichaa,

kazi ngumu ni changamoto sana my lady 🐒
 
Mkuu ukigusa neno Simu inaniuma sana bora msiwe mnataja
Walichonifanyia 29 wanaojiita waandamanaji sinaga hamu nao kabisa..
Waliibia simu za kutosha eti ndo maandamano.
Nilishasema siku yakitokea kama yale tena polisi wanipe hata bomu 10 nitahakikisha vibaka nawalipua.
 
Kwanza huna hata hako kaduka ka simu unakojidai unako. Wewe ni muuaji tu miongoni mwa wale walioshika bunduki kuua hizo siku...

Pili, ungekuwa mfanyabiashara mwema na mwenye akili, ungeungana na wanaodai haki, wanaopinga serikali inayoua, kuteka na kutesa raia wake ambayo mwisho wa siku inatia hasira wananchi na kuanza kudai haki kwa njia zenye madhara makubwa...

Tatu, Ungana na wapigania haki ili haki itamalaki ktk nchi, biashara ziwe salama na kila mtu aishi kwa amani na utulivu...

Nne; tambua kuwa utekaji, utesaji, mauaji ya raia wasio na hatia, wizi na ufisadi ktk nchi ni sumu ya AMANI na UTULIVU.

Tano, Raia waandamanaji hawana makosa na watu kuandamana kudai haki au kudai mabadiliko fulani si kosa kisheria na kwa mujibu wa katiba. Shida iko kwa viongozi wa serikali hii haramu, wanaojipatia madaraka kuongoza watu kwa njia haramu za mabavu na umwagaji damu...

Sita na mwisho; Dai UKWELI, UWAZI na UWAJIBIKAJI kwa serikali na wote wanaohusika na utekaji, utesaji, kuonea raia wakosoaji wa serikali na waliofanya mauaji ya mwaka jana kabla, siku ya 29/10 na siku ziluzofuata...

Ukifanya hivi, wewe ndio hasa utakuwa mzalendo...

##Lakini akili za kuwaza kuua wenzio ukidhani uhai wa mtu una thamani sawa na visimu vya dukani kwako, basi wewe bila shaka huna akili kwelikweli##
 
Good analysis.

Kwa kuongezea nyama tu ni kuelewa khasa hii Section 7031 (c) yahusu kitu gani.

Ni kipengele kinoitwa Related Programs Appropriation Act ndani ya SD shughuli za nje ( Foreign Operations) ambacho charuhusu serikali ya Marekani kuweka vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya raia wa nchi za kigeni ambao wahusishwa na vitendo vya rushwa na vitendo vya ukiuaji mkubwa wa haki za binadamu.

Lengo lake kuu ni kukazia juhudi za Marekani katika kupambana vitendo vya rushwa na ufisadi na kuhimiza kuheshimu haki za binadamu.

Kwenye masuala kama rushwa tuliona watu wazito kama Sep Blatter aliekuwa raisi wa FIFA akikamatwa na wenzie 13 wakafunguliwa mashtaka ya yanohusiana na rushwa na vitendo vya kifisadi. FBI walikuwa wakichunguza vitendo hivyo kwa muda mrefu. Baadae ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali nchini Switzerland akawafungulia mashtaka Blatter na Michele Platini.

Ni kweli kwamba hadi Marekani yaaamua kukuweka kwenye orodha ya watu wanozuiliwa (Criteria for Designation) ni kwamba zipo taarifa ziloshiba yaani “credible information” kuhusu mhusika kama walivyosema State Department.

Matokeo ya kizuizi hicho ni nini?

Kizuizi hichi chapalekea Kamanda Mafwele kushindwa kupata viza kila atapoomba yaani kwamba
kwa kuwa ana kizuizi na haruhusiwi kuingia Marekani kila atapoomba viza jina lake litakuwa likiwekwa (against sanctions list) orodha ya watu mbalimbali duniani walowekewa vikwazo mbalimbali na Marekani.

Lakini pia kizuizi hichi hakihusiani na kuzuia mali au akaunti benki ikiwa mhusika ana fedha katika mabenki ya Marekani lakini wizara ya fedha (Tressury) wakiamua kuchunguza mali (Assets) za mhusika basi mali hizo zaweza kuzuliwa pia.

Utaratibu na utekelezaji wa kizuizi.

SD ndo wenye jukumu la kusimamia kizuizi na utaratibu hauchuji nani ni nani lakini pale ushahidi uloshiba unapowekwa mezani khasa kwa mtu kama kamanda Mafwele waziri mwenyewe ( Marco Rubio) hutangaza kizuizi hicho kwa dunia.

Je vizuizi hivi vipo vile vya siri na vile vya wazi?

Jibu ni kwamba vizuizi hivi vipo vya siri kulingana na orodha iliyopo na kwa nchi ama Tanzania na madhila yalowapata watanzania waso na hatia mnamo Octoba 29, 2025 ni jambo liso na shaka kwamba Mafwele hayupo pake yake.

Kwenye hili la Rubio kumtangaza Mafwele limelenga kutoa onyo kwake kwamba (is under watch), litavisogeza vyombo vya habari kutangaza habari hiyo maana vile vlivyopo ndani ya Tanzania bado vina ganzi, na pia kutangaza huko kwalenga katika kusaidia juhudi za uwajibikaji ambao hadi sasa haujaonekana na jaji Chande aliambiwa ripoti yake lazima ichakachuliwe na aje na idadi ya vifo vya watu zaidi ya 500 tu.

Hivyo ni kweli kwamba taarifa za uhakika wanazo na pia orodha ya wahusika wote wa ukatili kwa watanzania wanayo.
 
Umeandika POROJO tupu
Yes mimi ni mwema lakini walionifanyia uasi ndo hao hao wanaoitwa waandamanaji..
Niungane nao ili nifanye uharibifu na wizi kama nilivofanyiwa mimi?
Siwezi ungana na Wapumbavu vibaka wafanya uharibifu wa mali za umma kwa kigezo waandamanaji.
 
Mkuu, nadhani unahitaji kufunguka akili uone uhalisia wa Samia.

Kama hadi wakati huu unamtafutia visababu vya kumfanya yeye kuwa mtu wa kutumiwa tu na wengine bila ya utashi wake mwenyewe....

Ni kitu gani kinachokufanya uzibwe akili na kushindwa kujuwa uovu wa moja kwa moja wa mwanamke huyu? kwa kuwa na msimamo kama huu kwa mtu mwovu kama Samia.

Unataka kitokee nini ndipo ujue Samia siyo mtu wa kutumiwa tu; bali yeye ndiye mhusika wa moja kwa moja

Inanishangaza na kusikitisha sana

You still "feel sorry" kwa Samia Suluhu Hassan?
 
Ni hatua nzuri lakini inaonekana US imechukua hatua hiyo ya kumzuia Mafwele kutoingia nchini mwake kwa sababu aliwateka,kuwatesa Wanaharakati wa Uganda na Kenya,si kwa sababu ya Utekaji,utesaje unaofanywa kwa Watanzania.
 
WHO ARE YOU? keshaanza KUPATA MAJIBU yake ya WHO WE ARE!
 
You still "feel sorry" kwa Samia Suluhu Hassan?
Yes Mr Kalamu, I still feel sorry for her for being ignorant, foolish and stupid too

Kumbuka huyu ni mwanamke tu...

Mwanamke hawezi kufanya uovu mkubwa kiasi hiki bila kuwa na back up ya wanaume na makende yao....

She is an Evil, Yes...

And for that case she's responsible for all murders and atrocities commited before her eyes whether direct or indirectly....

Simtetei. Anapaswa kujitetea mwenyewe. That's why I feel sorry for her kwa sbb hana cha kujitetea bali kukiri makosa na kutubu...

I hope you understand me now...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…