Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Utunzi wa uongo hauwezi kuitwa mjadala.Kubali tu huu mjadala ni mkubwa na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utunzi wa uongo hauwezi kuitwa mjadala.Kubali tu huu mjadala ni mkubwa na wewe
Wakristu wasingeigundua kwa bahati mbaya kama unavyodai hao Waislam ndiyo Wangeigundua?Kama tunavyojua kuwa athari ya uislamu uliohuishwa na Muhammad rehma na amani zimshukie ziianza Makka halafu Madina na baada ya hapo zikaenea kila sehemu ya dunia kwa njia moja au nyengine.
Bila kwenda ndani sana na kutumia muda mwingi ni kuwa kutoka Madina Uislamu ulikuwa na makao makuu yake maeneo tofauti kulingana na muda na hekima za Allah aliyetukuka.Miongoni mwa vituo hivyo majina ya sasa ni Syria, Irqq,Uturuki na kwengineko kweny miji midogo midgogo.
Maendeleo makubwa ya waislamu kiellimu ,kiuchumi na kiutamaduni yalifanyika zaidi na kwa mara ya mwanzo nchini Iraq kwa vile walitumia aya za Qur'an zinazotaja umuhimu wa kalamu na kukushanya maandiko yoyote waliyoyapata na wao kuandika na kuchapisha vitabu vingi mno vya fani zote za kielimu walizofanikiwa kuziasisi.
Kutoka Iraq maendeleo ya kielimu ya waislamu yalihamia miji kama vile ya Cordova na Toledo ya Uhispania.Vitabu vya kihistoria vyenye kutaja tamaduni za watu mbali mbali duniani vilivutia sana wasomaji wa Ulaya waislamu kwa wakristo.
Kibiashara waislamu ndio waliokuwa wasafirishaji wa bidhaa mbali mbali kwa njia ya bara na bahari.Walitawala biashara ya viungo kutoka India kuingia Ulaya kuingia Ufaransa mpaka Ureno.Enzi hizo nchi hizo zilikuwa na washirikina wengi na wakristo wachache waliokuwa na msimamo mkali zaidi ya wakristo halisi waliopatikana Jerusalem
Watawala wa kikristo wa Ulaya walipatwa na choyo juu ya biashara za waislamu na jinsi uislamu ulivyoenea kwa kasi maeneo yao.Katika mbinu walizobuni ilikuwa ni pamoja na kuwatilia changa waislamu kwenye maendeleo yao na ikiwezekana washike shughuli zao za kiuchumi.
Njia nyepesi ya kufika India ilijulikana ni kupitia ardhini maeneo ya dola ya kiislamu chini ya Uthmania (Ottoman) lakini ilijulikana kwa uhakika wasingeweza kufanya hivyo kwa usalama na kufika India.Ikaonekana njia pekee japo ni ndefu lakini ni kwa kutumia bahari tu.
Mwaka 1492 malkia Isabella na mfalme Ferdinand ambao walikuwa wakereketwa wakubwa wa ukatoliki walikubali kufadhili msafara wa Christopher Columbus kwenda kufuatilia maendeleo ya eneo lililoitwa India ambako waislamu walikuwa wakifanya nalo biashara sana ya viungo na ambalo lilikuwa limeandikwa sana historia yake na waislamu waliokuwa wameishi na kutawala maeneo hayo karne kadhaa zililzopita.
Wakati huo waislamu walikwishachora ramani ya dunia wakionesha bara lote la Asia,Ulaya na Afrika.Wasomi wa kiislamu baada ya kukotoa duara na muundo wa dunia walitabiri kuna eneo jengine nyuma ya ramani iliyochorwa ambako kutakuwa na ardhi nyengine japo hawakutaja ni eneo gani hilo.
Columbus alianza safari yake kuelekea India na kabla hajafika mbali kutokea Ureno alikooa japo yeye ni mtaliano inaonekana ama aliisoma vibaya ramani ya dunia au alivutwa na mkondo wa maji kuelekea kusikojulikana mpaka akaangukia maeneo ya visiwa vya Bahamas katikati ya bara la America.
Baada ya mwaka mmoja Columbus akarudi Ureno na kupokewa kama shujaa akitangaza ameigundua India na ndio maana visiwa hivyo mpaka leo vinaitwa East Indies.Mafanikio ya msafara huo yalitangazwa sana ijapokuwa watu aliowateka Columbus na kurudi nao nyumbani walikuwa ni tofauti kabisa na wahindi waliozungumzwa na vitabu vya kihistoria.
Pamoja na kutangazwa sana kwa safari ya Columbus kuna watu na watawala ambao walijua mvumbuzi huyo hakufka alikokusudia kwenda na alifika eneo tofauti.Hivyo utaratibu ukafanywa kutolewa kwa mtu mwengine wa kukamilisha kazi hiyo na ndipo kwa sifa zake akachaguliwa Vasco da Gama.
Vasco da Gama alikuwa mjanja zaidi alijitayarisha vizuri kwa kuwa na kikosi kikubwa cha msafara wake.Wakafanikiwa kufika Msumbiji lakini waislamu wa eneo hilo wakawatilia shaka akina Vasco da Gama na kuanza kuwafanyia uadui ndipo haraka Vascodagama akapanda kuelekea kaskazini mpaka Malindi nchini Kenya.
Hapo kwa ujasusi wake akajua kuna mwanamaji mmoja hodari sana aitwaye Majjid mwenye asili ya Oman ambaye alikuwa na vifaa vya dira vya kusafiria baharini usiku na mchana.
Akafanikiwa kuwashawishi wafanyakazi wake waliokuwa wakisafiri mara kwa mara kwenda India na wakamuongoza mpaka akafanikiwa kufika India mwishoni mwa mwaka huo wa 1498.
Hatujasema kuwa bara Amerika kabla ya mwaka huo hakukuwa na binadamu na ambao walikuwa na akili pia.Muhimu ni kuwa bara hilo lilikwishatabiriwa kuwepo wakati waislamu wakikokotoa duara na kipenyo dunia.Wakristu wasingeigudnua kwa bahati mbaya kama unavyodai hao Waislam ndiyo Wangeigundua?
Inaonekana huna habari kuwa Vikings walikuwa America kitambo kabla ya Columbus
Maendeleo gani walikuwa wamefikia kuwazidi wazungu? Mbona leo hatuoni hayo maendeleo?Hatujasema kuwa bara Amerika kabla ya mwaka huo hakukuwa na binadamu na ambao walikuwa na akili pia.Muhimu ni kuwa bara hilo lilikwishatabiriwa kuwepo wakati waislamu wakikokotoa duara na kipenyo dunia.
Zaidi ni kuwa wakati Marekani inagunduliwa waislamu walikwisha fikia maendeleo makubwa ya kielimu hasa hasa elimu ya anga na mahesabu,
Katika historia maendeleo ni kuwa waislamu ndio waanzilishi wa hospitali duniani,benki na kadhalika.Maendeleo gani walikuwa wamefikia kuwazidi wazungu? Mbona leo hatuoni hayo maendeleo?
Many scholars trace the historical roots of the modern banking system to medieval and Renaissance Italy, particularly the affluent cities of Florence, Venice and Genoa.Katika historia maendeleo ni kuwa waislamu ndio waanzilishi wa hospitali duniani,benki na kadhalika.
Na ndio waliowasomesha wazungu na kuwawekea msingi wa elimu zote za dunia.
Jee unatumia benki na kwenda hospitali au hufanyi hivyo.
Hapo Roma unazungumzia modern banking system.Angalia historia kabla ya hapo utagundua kuwa karne ya 14 ni karibuni sana.Mambo ya kibenki yamo kwenye Qur'an tangu karne ya 6 na waislamu waliyatekeleza tangu muda huo kabla watu wa Italy hawajayasoma kutoka kwao.Many scholars trace the historical roots of the modern banking system to medieval and Renaissance Italy, particularly the affluent cities of Florence, Venice and Genoa.
![]()
History of banking - Wikipedia
en.wikipedia.org
Ndiyo natumia bank na mfumo wa bank unaouona leo uliasisiwa katika nchi ya Italy
Hospital zimeanza miaka mingi. Wagiriki na Waroma wote walikuwa na taasisi zenye k-function kama hospitali
Kwa hiyo kwa akili yako wanadamu hawakuwa wakifanya shughuli zozote za kibenki hadi ulipokuja Uislam? Wewe unachekesha sana.Hapo Roma unazungumzia modern banking system.Angalia historia kabla ya hapo utagundua kuwa karne ya 14 ni karibuni sana.Mambo ya kibenki yamo kwenye Qur'an tangu karne ya 6 na waislamu waliyatekeleza tangu muda huo kabla watu wa Italy hawajayasoma kutoka kwao.
Uislamu kwanza haukuja karne fulani bali ndiyo dini tangu ya binadamu wa mwanzo.Kwa hiyo kwa akili yako wanadamu hawakuwa wakifanya shughuli zozote za kibenki hadi ulipokuja Uislam? Wewe unachekesha sana.
Hapo juu nimekwambia huu mfumo wa bank unaouona leo ni matokeo ya bunifu za Waitaliano.
Mambo ya huduma za kibank yameanza miaka mingi kabla ya huo koran haijaandikwa. Wayahudi walikuwa na mifumo yao ya kibank, vile vile wahindi, wachina na wagiriki. Soma hiyo article acha uvivu.