Marekani iligunduliwa kibahati mbaya wakati wakristo wakifukuzana na maendeleo ya waislamu

Ukitaka kujua uislamu unafananaje
Ingia ndani kwako, bidhaa au kitu chochote ambacho hakitoki kwenye nchi za waislamu kitupe😀😀😀
Hoja dhaifu sana hiyo
 
Wakristu wasingeigundua kwa bahati mbaya kama unavyodai hao Waislam ndiyo Wangeigundua?
Inaonekana huna habari kuwa Vikings walikuwa America kitambo kabla ya Columbus
 
Wakristu wasingeigudnua kwa bahati mbaya kama unavyodai hao Waislam ndiyo Wangeigundua?
Inaonekana huna habari kuwa Vikings walikuwa America kitambo kabla ya Columbus
Hatujasema kuwa bara Amerika kabla ya mwaka huo hakukuwa na binadamu na ambao walikuwa na akili pia.Muhimu ni kuwa bara hilo lilikwishatabiriwa kuwepo wakati waislamu wakikokotoa duara na kipenyo dunia.
Zaidi ni kuwa wakati Marekani inagunduliwa waislamu walikwisha fikia maendeleo makubwa ya kielimu hasa hasa elimu ya anga na mahesabu,
 
Maendeleo gani walikuwa wamefikia kuwazidi wazungu? Mbona leo hatuoni hayo maendeleo?
 
Maendeleo gani walikuwa wamefikia kuwazidi wazungu? Mbona leo hatuoni hayo maendeleo?
Katika historia maendeleo ni kuwa waislamu ndio waanzilishi wa hospitali duniani,benki na kadhalika.
Na ndio waliowasomesha wazungu na kuwawekea msingi wa elimu zote za dunia.
Jee unatumia benki na kwenda hospitali au hufanyi hivyo.
 
Katika historia maendeleo ni kuwa waislamu ndio waanzilishi wa hospitali duniani,benki na kadhalika.
Na ndio waliowasomesha wazungu na kuwawekea msingi wa elimu zote za dunia.
Jee unatumia benki na kwenda hospitali au hufanyi hivyo.
Many scholars trace the historical roots of the modern banking system to medieval and Renaissance Italy, particularly the affluent cities of Florence, Venice and Genoa.


Ndiyo natumia bank na mfumo wa bank unaouona leo uliasisiwa katika nchi ya Italy

Hospital zimeanza miaka mingi. Wagiriki na Waroma wote walikuwa na taasisi zenye k-function kama hospitali
 
Hapo Roma unazungumzia modern banking system.Angalia historia kabla ya hapo utagundua kuwa karne ya 14 ni karibuni sana.Mambo ya kibenki yamo kwenye Qur'an tangu karne ya 6 na waislamu waliyatekeleza tangu muda huo kabla watu wa Italy hawajayasoma kutoka kwao.
 
Kwa hiyo kwa akili yako wanadamu hawakuwa wakifanya shughuli zozote za kibenki hadi ulipokuja Uislam? Wewe unachekesha sana.
Hapo juu nimekwambia huu mfumo wa bank unaouona leo ni matokeo ya bunifu za Waitaliano.
Mambo ya huduma za kibank yameanza miaka mingi kabla ya huo koran haijaandikwa. Wayahudi walikuwa na mifumo yao ya kibank, vile vile wahindi, wachina na wagiriki. Soma hiyo article acha uvivu.
 
Uislamu kwanza haukuja karne fulani bali ndiyo dini tangu ya binadamu wa mwanzo.
Unapozungumzia kuwa kubadilishana nafaka kwa nafaka kuwa ndio mwanzo wa benki sio tatizo sana.Isipokuwa mfumo wa benki wa kuweka akiba na kuandikiana kilichotoka na kubaki ulchukuliwa kutoka kwa waislamu baada ya kuja kwa mtume Muhammad kabla ya huko Italy.
Kumbuka kuwa Italy haikuwa na elimu ya utambuzi wa hata historia za dunia kabla ya kusoma kutoka vyuo vya waislamu kule Spain.Pia kumbuka kuwa tunaposema Italy haina maana tunawazungumzia wakristo pekee au wazungu kama unavyotaka tuamini.Bara la Ulaya lilitawaliwa na waislamu kwa karne kadhaa tena waislamu wa Afrika kabisa,
Hivyo ni wazi kuwa wakati wa utawala wa waislamu na baadae juhudi z a wazungu wenyewe walichota mengi kutoka kwa waislamu.Na hata inawezekana ni majina tu lakini baadhi ya taasisi zilianzishwa na waislamu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…