Marekani iliingiza Bilioni 204 kwenye utalii mwaka 2023. Tanzania tusibweteke na utalii wa mapori, hauwezi kuleta tija

Marekani iliingiza Bilioni 204 kwenye utalii mwaka 2023. Tanzania tusibweteke na utalii wa mapori, hauwezi kuleta tija

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
US inaongoza ikifuatiwa na China. Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.

5E8A8B18-2D5A-4DEA-950E-4CDB9F2948B8.jpeg
 
TUANGALIE KWANZA HIYO US ina nini hadi watu wanakimbilia kwenda kubwaga hela
 
Attachments

  • F0EB83AE-B209-4536-9154-8AF8FA060435.jpeg
    F0EB83AE-B209-4536-9154-8AF8FA060435.jpeg
    309.3 KB · Views: 4
😎
 
Attachments

  • B4F4F961-28DC-40CA-91DD-05BB862CF85F.jpeg
    B4F4F961-28DC-40CA-91DD-05BB862CF85F.jpeg
    178 KB · Views: 4
Kizazi cha sasa hakielewi utalii wa mapori,
Inabidi tubadilike, watu wanataka utalii wa bata,
Mikutano mikubwa na vitu kama hivyo, matamasha ya muziki na movie, matamasha ya biashara nk
 
Kizazi cha sasa hakielewi utalii wa mapori,
Inabidi tubadilike, watu wanataka utalii wa bata,
Mikutano mikubwa na vitu kama hivyo, matamasha ya muziki na movie, matamasha ya biashara nk
Hapo umesema
 
Back
Top Bottom