Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
US inaongoza ikifuatiwa na China. Watu duniani wanapenda bata siyo kuzunguka maporini.
View attachment 3085744
Kwani sisi tunafanana na Marekani? I thought ungesema tujidhatiti kwenye utalii tulionao ili watalii waongezeke. Marekani wanaenda kutalii maendeleo. Sisi wanakuja kutalii nini? Kuangalia vimelea vya malaria?
Tunahitaji wanyama pori sababu hatuna cha kuwavutia watalii zaidi ya kuona hao wanyama na labda wahadhabe kama watakuwa available