Marekani iliwashitaki wapi Osama Bin Laden, Saddam Hussein? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?

Marekani iliwashitaki wapi Osama Bin Laden, Saddam Hussein? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?

Mkuu, kwakuwa sikutaka kumchosha huyu asie ijuwa historia, basi nikiona nianzie tu hapo kati ili tusichoshane tu... Maana nilikuwa tayari nimefika nusu Whatever-Vant kubwa....

Nimekuelewa mkuu na umeilezea vizuri
na
 
Tatizo wewe umesoma maandishi ya wamarekani, Osama katengenezwa na wamarekani kapewa mipango na wao ya kuunda Taliban na akaiteka Afghanistan, we jiulize nani huwa anawauzia hayo makundi ya Kigaidi kama Taliban, Isil, Alshababu, Bokoharam nk, na je kwanini USA na Washirika wake hawawekei vikwazo wale wanaowauzia hayo makundi zana za kivita?
Mkuu, ebu lete hoja zilizo shiba ili nami nijifunze kutoka kwako tafadhali...
Humu homie of great thinkers haturuhusu yeyote kuandikii mate....
 
Back
Top Bottom