Basi waache wanyoshaneBado iko hivo hivo
ndio tatizo lenu wafia dini si juzi mlikuwa mnawasifia wahouthi wameshindikana wakianzwa kutandikwa mnaleta huruma maneno ya malalamiko eti ni watu wanaonewa yaani waislamu bwana mkishambulia mnajisifia ni mashujaa mkipigwa mnatumia victim card kutafuta huruma mnaonewaBila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi.
Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini bado tu Trump ameelekeza nguvu zake huko huku akijisifu kwamba anashusha kiama huko Yemen
Tukio hili limekuja huku raisi huyo akiwa amechagizwa na wagomvi wake wengi ambao wote wameamua kutokumunea haya katika sera zake za vita vita.
Marekani ingekuwa ina nguvu kubwa kweli za kuionesha dunia basi ingemsaidia Zelensky kumshinda Putin au ingepiga angalau lengo moja la rasilimali za kichina.
Kwa uchache Trump angeipiga Korea Kaskazini au angalau Iran.Kote huko Marekani inaogopa kupata fedheha kama ilizokwishakuzipata huko nyuma na badala yake kuamua kuipiga Yemen bila sababu za msingi.I
Kama ni kosa la Houth basi ni kule kusema kuwa wataendelea kushambulia maslahi ya Israel kwa vile inaendelea kuwaonea wapalestina jambo ambalo ni kweli.
Muhimu ni kuwa uchaguzi huo wa Marekani pia hautaweza kuiepusha na kushindwa kwani inapigana na watu dhaifu lakini wenye hamasa kubwa za kujitetea
Jiandae kushangilia na kazi ya kutoka Yemen !!! Myemen anaga kazi mbovu atakufuraisha zaid weka bando kabisa!!!Woooyoooo wooooyooooo, Houch vidume , hakuna wa kuingia pale , hooch noma sana wale hawaogopi kufa, mara oooh Hooch wameshambulia meli za Merekani,
Haya yote tulikua tunayapata baada ya ibada nje pale tukipata gahawa ,
Wachache wenye akili ukimtoa Ostadh chogo wakasema , jamani huyu Houth siku ataingia mtumbwi wa vibwengo
Kina shekhe Kundecha" hakunaaa hakuna hata siku moja Houth wanaume kweli kweli "
Haya leo Ayatollah we babu kaja mbio hapa kudai Marikani kachagua adui dhaifu😅😂🤣🤣🤣
jamani hakuna somo zuri kama kusoma alama za nyakati ,ilikua ni lazima Trump kutoa demo kidogo kisha amnyooshee mtu kidole,
Lakini pia hawa Waouth sio adui dhaifu kama watu wanavyojaribu kubadili gia angani hapa baada ya DHAHAMA kuanza ,
Houth ni wale hard hardened battle,
Cha pili wamewezeshwa sana kisilaha za kisasa kuliko kawaida , je udhaifu wao uko wapi?
Na Marikani kasema hasimami mpaka achomoke na roho ya yule kiongozi wao mchomeka jambia ,na za chini chini anataka atorokee kwa bob Ayatolah,
Mbona wewooooooo🤣
Hawajawahi kuirushia China hata jiwe ili iache kuitaja Taiwan.Marekani inapochagua kuikingia kifua Taiwan dhidi ya mainland China huko ni kuchagua adui dhaifu?!
China ni adui dhaifu?!
Watu wengine chuki zimewajaa rohoni aisee...
Ikisemwa Houth ni dhaifu haina maana ni dhaifu kama majeshi ya SADCC au askari wa Tshekedi lakini mbele ya Israel na Marekani na China na Korea kaskazini walo hawalingani nao.Woooyoooo wooooyooooo, Houch vidume , hakuna wa kuingia pale , hooch noma sana wale hawaogopi kufa, mara oooh Hooch wameshambulia meli za Merekani,
Haya yote tulikua tunayapata baada ya ibada nje pale tukipata gahawa ,
Wachache wenye akili ukimtoa Ostadh chogo wakasema , jamani huyu Houth siku ataingia mtumbwi wa vibwengo
Kina shekhe Kundecha" hakunaaa hakuna hata siku moja Houth wanaume kweli kweli "
Haya leo Ayatollah we babu kaja mbio hapa kudai Marikani kachagua adui dhaifu😅😂🤣🤣🤣
jamani hakuna somo zuri kama kusoma alama za nyakati ,ilikua ni lazima Trump kutoa demo kidogo kisha amnyooshee mtu kidole,
Lakini pia hawa Waouth sio adui dhaifu kama watu wanavyojaribu kubadili gia angani hapa baada ya DHAHAMA kuanza ,
Houth ni wale hard hardened battle,
Cha pili wamewezeshwa sana kisilaha za kisasa kuliko kawaida , je udhaifu wao uko wapi?
Na Marikani kasema hasimami mpaka achomoke na roho ya yule kiongozi wao mchomeka jambia ,na za chini chini anataka atorokee kwa bob Ayatolah,
Mbona wewooooooo🤣
Huna akiliBila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi.
Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini bado tu Trump ameelekeza nguvu zake huko huku akijisifu kwamba anashusha kiama huko Yemen
Tukio hili limekuja huku raisi huyo akiwa amechagizwa na wagomvi wake wengi ambao wote wameamua kutokumunea haya katika sera zake za vita vita.
Marekani ingekuwa ina nguvu kubwa kweli za kuionesha dunia basi ingemsaidia Zelensky kumshinda Putin au ingepiga angalau lengo moja la rasilimali za kichina.
Kwa uchache Trump angeipiga Korea Kaskazini au angalau Iran.Kote huko Marekani inaogopa kupata fedheha kama ilizokwishakuzipata huko nyuma na badala yake kuamua kuipiga Yemen bila sababu za msingi.
Kama ni kosa la Houth basi ni kule kusema kuwa wataendelea kushambulia maslahi ya Israel kwa vile inaendelea kuwaonea wapalestina jambo ambalo ni kweli.
Muhimu ni kuwa uchaguzi huo wa Marekani pia hautaweza kuiepusha na kushindwa kwani inapigana na watu dhaifu lakini wenye hamasa kubwa za kujitetea
Hivi wewe unafikiri USA ikiamua kupambana na hao Magaidi wa Houthi watabakia?!Hawajawahi kuirushia China hata jiwe ili iache kuitaja Taiwan.
Kinyume chake Houth wamesema tu ikiwa Israel itaendelea kuzuia misaada kwa Gaza na wao wataanzisha tenza kuzipiga meli.
Huoni kuwa huo ni uchaguzi wa adui badala ya kupigana na adui wa kweli
Bila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi.
Kwa kujua huko nyuma wameshaipiga sana na kuvunja miundo mbinu mingi ya nchi hiyo lakini bado tu Trump ameelekeza nguvu zake huko huku akijisifu kwamba anashusha kiama huko Yemen
Tukio hili limekuja huku raisi huyo akiwa amechagizwa na wagomvi wake wengi ambao wote wameamua kutokumunea haya katika sera zake za vita vita.
Marekani ingekuwa ina nguvu kubwa kweli za kuionesha dunia basi ingemsaidia Zelensky kumshinda Putin au ingepiga angalau lengo moja la rasilimali za kichina.
Kwa uchache Trump angeipiga Korea Kaskazini au angalau Iran.Kote huko Marekani inaogopa kupata fedheha kama ilizokwishakuzipata huko nyuma na badala yake kuamua kuipiga Yemen bila sababu za msingi.
Kama ni kosa la Houth basi ni kule kusema kuwa wataendelea kushambulia maslahi ya Israel kwa vile inaendelea kuwaonea wapalestina jambo ambalo ni kweli.
Muhimu ni kuwa uchaguzi huo wa Marekani pia hautaweza kuiepusha na kushindwa kwani inapigana na watu dhaifu lakini wenye hamasa kubwa za kujitetea
Naona Njaa imekutandika mpaka umesahau kuwa Houthi ni magaidi na wanaishambulia Meli zinazopita kwenye bahati nyekundu. Hujui kuwa wanawaunga mkono Magaidi wenzao wa Hamas huko Gaza!! Subiri upate futru labda akili yako Itakaa sawa!!!Bila kuchokozwa raisi Trump ameamua tu kupiga maeneo ya Yemen akijua hiyo ni nchi dhaifu kwa miaka mingi.