Marekani imechagua adui dhaifu kupigana naye kuficha aibu zake.

Jiandae kushangilia na kazi ya kutoka Yemen !!! Myemen anaga kazi mbovu atakufuraisha zaid weka bando kabisa!!!
Kwamba Houth ampige Marekani katika uwanja wa vita si ndio? Au sijaelewa ulichoandika kwa kifupi yule mchomeka kijambia wakati wake umefika
 
Kosa la china ni nini ?
 
Kwamba Houth ampige Marekani katika uwanja wa vita si ndio? Au sijaelewa ulichoandika kwa kifupi yule mchomeka kijambia wakati wake umefika
Kwaiyo jambia ndio lilifunga Njia ya bahari na kuwafanya WaIsrael walale kwenye mashimo kazi imeeaza uko Puto atajaaaa upepo MOTO UNAWAKA UKO!!!!! wwka Bando kijana ushangilie!!!!!!
 
YEMEN leo imetangaza kujibu mapigo kazi kipimo cha utu... wekeni tayali bando muwe tayali kupokea taarifa !
Hawajawahi kurudi nyuma hao.ni kama Mbwa mwitu, kadri wanavyozidisha makelele ndivyo wanavyopata nguvu na ari yakushambulia.
 
kwan unahisi Marekan ni wehu kama wew unaeza ushibe ujambe ulale uongeze siku duniani , wale wanaish kwa malengo , kuna haja gan ya kumshambulia China au Iran au Urusi ?
 
kwan unahisi Marekan ni wehu kama wew unaeza ushibe ujambe ulale uongeze siku duniani , wale wanaish kwa malengo , kuna haja gan ya kumshambulia China au Iran au Urusi ?
Putin amempuuza Trump moja kwa moja na usuluhishi wake wa kitapeli.Si aene basi akampige?.
Mbona anamalizia hasira zake Yemen na Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…