Japo mimi ni pro USA na Israel ila mbona hapa kama Marekani inazingua, au Kuna nini nyuma ya pazia, muda wote shida yangu ni moja tu, Iran kusahau mpango wa manyuklia, mazombi ya makobaz hawapaswi kuruhusiwa kumiliki nyuklia, hata Pakistan sijui ilitokeaje wakaruhusiwa.
Haya masharti mengine yanatekelezeka.