Marekani imelaumu Vietnam kumpokea Putin na kusaini ushirikiano

Marekani imelaumu Vietnam kumpokea Putin na kusaini ushirikiano

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. 😅😅

US condemns Vietnam for hosting Putin and has the audacity to moralise after killing millions of Vietnamese in the Vietnam War and unleashing Agent Orange in the process.

IMG_20240620_163718.jpg
 
Inatakiwa hayo majeneza yanayoelea yazamishwe hata mawili ndio akili itakaa sawa
Amrica na Israel wanacheza lugha za kitoto kuonyesha wamekosana hamna lolote wanadhani Hezbullah na wenzao hawajui akili zao.

Mara sijui America kuzuia silaha kwenda Israel wakati kila kukicha anapeleka silaha na askari.

Hata hio sijui France amekosana na Israel hizo zote propoganda wanacho tafutia wavamie Lebano kwa speed kali wanadhani wataimaliza Hezbullah hahaha.

America na Israel wana akili zile za zamani wanadhani wale viongozi warabu walivyo wajinga wanadhania na kina Nasurlah. Yahya Sinwar na Abdul Malik Al Houth wana akili kama za viongozi wa kiarabu 😆

Kumbe kina Nasrullah wana wachora tu wanangojea ile count down ianze ndio wataziona silaha za Hezbullah
 
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. [emoji28][emoji28]

US condemns Vietnam for hosting Putin and has the audacity to moralise after killing millions of Vietnamese in the Vietnam War and unleashing Agent Orange in the process.
Mkuu habari yako imenifurahisha mno jioni ya leo, haswa baada ya uchovu na pilika pilika za kutwa nzima .
 
Ukiangalia namna SPAIN, IRELAND, SLOVENIA, COLOMBIA walivyouitambua PALESTINE, ...ICJ ilivyotoa hati kwa NETANYAU, .. maandamano ya free PALESTINE na anti JEWS. Movement ya BRICS, ..Ni kama dunia imeng'amua jambo na kuna kizazi kinatafuta solutions..
Hi vita ya GAZA kuna kitu itaancha kikubwa ktk historia. Kuna kizazi kimeshudia unafiki wa DEMOKRASIA ya US + WESTERN powers haina uhalisia...hasa namna US anayoitumia nguvu ya VETO as if kama dunia ya nje ya US ni BLIND..!!
 
Back
Top Bottom