Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Unafikiri nimchezo mchezo tuuu. Unapata misaaada kutoka kwa wazungu alafu uende ukajichanganye na watu ambao hawana msaada ktk bajeti zetuNimemkumbuka jiwe leo. Huenda Tanzania tungekuwa ni member wa BRICS kama angekuwa hai. View attachment 3021580