Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Na akiendelea kubwekea bandani wanaume wataenda kumchomoa na kumpa kipigo cha mbwa mwiziUzuri Vietnam hanaga Show mbovu.
US haamini anachoshuhudia dunia imeamkaSiasa za dunia hii ni nguma sana,hasa kwenye maslahi.
Mkuu ushawahi kumfanyia hivo mbwa wako nini mana umetoa kauli ya ushuhuda sanaNa akiendelea kubwekea bandani wanaume wataenda kumchomoa na kumpa kipigo cha mbwa mwizi
Kapeleka Carriers mbili kumsaidia shoga yake Israel kupambana na Hezbullah nadhani anacho kitafuta karibu kitamkuta πNa akiendelea kubwekea bandani wanaume wataenda kumchomoa na kumpa kipigo cha mbwa mwizi
Inatakiwa hayo majeneza yanayoelea yazamishwe hata mawili ndio akili itakaa sawaKapeleka Carriers mbili kumsaidia shoga yake Israel kupambana na Hezbullah nadhani anacho kitafuta karibu kitamkuta π
Amrica na Israel wanacheza lugha za kitoto kuonyesha wamekosana hamna lolote wanadhani Hezbullah na wenzao hawajui akili zao.Inatakiwa hayo majeneza yanayoelea yazamishwe hata mawili ndio akili itakaa sawa
Mkuu habari yako imenifurahisha mno jioni ya leo, haswa baada ya uchovu na pilika pilika za kutwa nzima .Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. [emoji28][emoji28]
US condemns Vietnam for hosting Putin and has the audacity to moralise after killing millions of Vietnamese in the Vietnam War and unleashing Agent Orange in the process.
Ni jambo jema mkuuMkuu habari yako imenifurahisha mno jioni ya leo, haswa baada ya uchovu na pilika pilika za kutwa nzima .
no one cares anymore about what rogue state(US) saidUS haamini anachoshuhudia dunia imeamka
Magu hapendi utumwa wa kunyenyekea mabwenyenye na majizi ya rasilimali za Nchi nyingine angefuata BRICSNimemkumbuka jiwe leo. Huenda Tanzania tungekuwa ni member wa BRICS kama angekuwa hai. View attachment 3021580
Mzee kwenye fursa hachelewi yule ππNimemkumbuka jiwe leo. Huenda Tanzania tungekuwa ni member wa BRICS kama angekuwa hai. View attachment 3021580
Na bei ya mafuta lita ingekuwa buku jelo.Magu hapendi utumwa wa kunyenyekea mabwenyenye na majizi ya rasilimali za Nchi nyingine angefuata BRICS
Nipo Mkuu, napitia nyuzi na komenti kimya kimya...majukumu yamebambaKuna mdau mmoja sijamwona hapa jukwaani kitambo kidogo.
Sikirimimimasikini upo wapi jamaa yangu.