Marekani imesema haitarudishia Ukraine Silaha zake za Nuclear

Marekani imesema haitarudishia Ukraine Silaha zake za Nuclear

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
Screenshot_20241202-011227.png
Screenshot_20241202-011245.png
 
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
US kazengua. Angerudisha hizo zaga kwa Ukraine ili yule Mandonga wa kizungu apunguze biti, yani vita ingeisha chap maana Ukraine angekuwa na kitu cha kumpa nguvu ili ashambulie hadi Modcow kabisa.
 
Marekani hakijawahi kuweka silaha za nuclear Ukraine, silaha zilizokuwepo ni za Urusi na zilichukuliwa kwa masharti maalumu.
 
Amrudishie hata 10 tu halafu Ukraine ayaelekeze kwenye Ofisi ya Putin ili adabu ipatikane.
 
Amrudishie hata 10 tu halafu Ukraine ayaelekeze kwenye Ofisi ya Putin ili adabu ipatikane.
Hehe kwahio dogo zele alichokoza nyuki wakati hajajipanga,,,,,sahivi ndo anajua ana upungufu
 
Labda Putin atashika Adabu zake, wewe unaonaje?!
Russia imedondosha miamba halafu ije kushikishwa adabu na kadogo zele ambacho hata historia yake kalikua ka cross dresser,,,,mtafutieni putin pambano lingine la kumshikisha adabu ila sio dogo zele
 
Hehe kwahio dogo zele alichokoza nyuki wakati hajajipanga,,,,,sahivi ndo anajua ana upungufu
Sio kwamba Dogo Zele ndiye aliyevamiwa na Majeshi ya Putin?! Kwasababu hana Nyukilia.
 
Sio kwamba Dogo Zele ndiye aliyevamiwa na Majeshi ya Putin?! Kwasababu hana Nyukilia.
Putin haendi bila sababu.........hio sio kama iraq au Afghanistan unajiendea unavyotaka,,,,,watu walishavunja makubaliano na alishaona anatishiwa usalama wa taifa lake kwahio lazima achukue hatua,,, mambo kama hayo mabeberu wamezoea kufanya kwa nchi zisizojielewa ila sio kwa mrusi
 
Back
Top Bottom