Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Mkuu bado una utoto?!!

Una uoga?!!!

Hujui kuwa matatizo humkomaza mtu ?!!!

Siku wakisitisha ARV tutapata fikra za mlango mwingine.....huwenda tukaanza kuzitengeneza zetu wenyewe.....ukiogopa madhara ya kipindi cha mpito cha kukosa hizo dawa basi wewe si mtu mwenye kujiamini......hakuna lipatikanalo bila "harubu" na madhara kidogo....

Yaani unaogopa kupungukiwa kinga za mwili na uzito wa mwili ilihali unahitaji kupata shahada ya udaktari ,sheria ama engineering?!![emoji1787][emoji1787]
Nani atengeneze ARVs hapa bongo, hawa wanasayansi wa kutengeneza bupiji hizi kachumbari za kwenye chupa za tomato wakaita dawa ya COVID-19? Wataalamu hawahawa waliotengeneza zile tangawizi na vitunguu saumu?

Hivi Warusi huwa hamna akili au ni kujitoa ufahamu. Kwahiyo tulishindwa kutengeneza tukaletewa na Marekani na hadi sasa tunazitumia hatujawahi tengeneza za kwetu, kisha wakiondoa za kwao ndio tuweze kutengeneza?
Warusi anza nyinyi hakuna kutumia ARVs na ndugu zenu kunyweni mwarobaini, pia hakuna kutumia internet maana ililetwa na jeshi la Marekani.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Marekani imeingiza usenge urusi imeingiza nini?
 
Maneno yako ni ya kushindwashindwa tu....umeshindwa wewe na mimi ndio tushindwe kuweka "foundation" ya vizazi vitakavyothubutu zaidi yetu?!!!

Mnakwenda shule kusomea utumwa wa fikra na kuweka rehani utu wenye uthubutu?!!

Nani aliyekuambia marekani hana mchango mkubwa kwenye nyanja tofauti?!!!

Kwa hiyo Urusi hana huo mchango hata kama umdogo zaidi ya hao wengine sababu tu wewe unamchukia?!!![emoji15][emoji15]

Kitabu gani cha "divination" kimeandika kuwa wengine hawawezi isipokuwa ni marekani tu?!!? [emoji15][emoji15]ujinga ulioje huu....

Hatuwezi kwa sababu 2 tu

1)Tu mawakala wa nchi zilizoendelea

2)Hatuthamini utu wetu...kuwa bila ya kuwekeza vyema katika falsafa na sayansi basi uzwazwa ndio ngozi zetu..
 
Utu gani ulionao wewe? Bila Beberu USA ungeshafukia Watoto wako
 
Ukiamini USA anakupenda asaidie kukutibu na VVU walioitengeneza wenyewe basi kazi ipo!
Hakuna hela ya bure MZUNGU atakupa!
Hapo watakuuzia dawa zao, wataleta experts wao wenye mishahara, usafiri na malazi makubwa etc etc..
Mwafrika hupendwi na mzungu bali ni wewe ni panya wa majaribio ya maugonjwa na madawa yao.
Mwafrika hutaruhusiwa kuwa na maendeleo na mzungu. Ikae kichwani hiyo.
Wanakutaka ubakie maskini uwe omba omba, uwape maliasili na rasilimali kwenye maisha yako yote. Kama wafuatilia habari ebu soma hili toka huko..

The U.S. Is Unhappy That Mexico Is Spending Money on Its Own Citizens The U.S. Is Unhappy That Mexico Is Spending Money on Its Own Citizens
Ebu tujikomboe Kwa Hawa madhalimu
 
Malaria,kifua Kikuu,chanjo z Watoto nk vyote alitebgeneza yeye?
Huyo mwingine anakusaidia Kwa lipi?
 
Sio tuu ARVs hata Bajeti yetu Kwa sehemu kubwa wao ndio wafadhili wakubwa
Haya yanayotokea Uganda yanatakiwa kutufunza kuwa na mifumo yetu wenyewe na tuache kuwa ombaomba kwa hawa watu. maana hapa wasipoleta ARV hata kwa siku moja tu itakuwa balaa.

Ilipotokea ile Kovid tulichemsha kila jani linaloonekana hao wasayansi walikuwa kimya! ishu ikachukuliwa na wanasiasa adi yule mwingine akaenda madagascar cjui maurishaz kufuata majani yaleyale.

muhimbili tunaowategemea nao wakawa wanafanya vituko vikuu kuwahi kutokea.

Ili tuweze kujitegemea ni lazma tuache hiz siasa na tujenge uwezo wetu, period
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Waafrika mnapenda kupewa...tafuteni vya kwenu nyie...kwani US nani aliwapa??Au wao sio watu kama sisi.Bora wasitishe hiyo misaada ili akili zitukae sawa. Pili hao ambao hawatupi wasilete..nyie mmewapa akina nani???Kwa nin nyie hamtoi na rasilimalu zote hizi zilizopo...shame on you..wapewaji na ombaomba...hakuna sifa kuomba na kupewa...tukipewa na vingine tusilalamike
 
Umeandika ujinga!
Mwenye mentality ya kaka yangu tajiri ni ww!
Watu wanapambana na maisha hadi wengine wanakufa!
Anae kulazimisha ushoga nani??
Unacho lazimishwa ni kuacha kuingilia falagha za watu! Kama una ubavu wa kuadhibu na kuwahukumu umba wako!
Mashoga yenyewe ni kama haya.
Yaani baba mama yako wanatamni kama mimba yako ingeharibika.

Hata mbwa tunaowadharau hawafanyi hivyo sijui hiyo akili yenu ya kuutetea ushoga mnaupata wapi.

Msaada unatolewa eti kwa masharti ya kuruhusu ushoga na usagaji ni aibu kubwa kuwasifia watu wa namna hii na wa aina yako. Your muderer,

Hebu googlee hiyo unayoiita faraga mambo yafuatayo

Life expectancy ya shoga ni miaka mingapi.

Shogaalieanza hiyo tabia kabla hajafikisha miaka 20

Shoga aliyeanza ushoga baada ya miaka 20.

Shoga aliyepata ugonjwa sugu (HIV, blood pressure, sukari etc)

Kisha linganisha na straight man hapo ndio utajua tayari muda wako umefika mwisho.
 
Ushoga ni kitendo kichafu sana!
Lakini kaa utafakari Sababu za ushoga!
Wengine ni mashoga toka tumboni mwa mama zao!
Wengine wamefanywa na Watu kuwa mashoga!
Omba wepesi ww bado kijana usizae mtoto shoga!____
 
Mashoga yenyewe ni kama haya.
Yaani baba mama yako wanatamni kama mimba yako ingeharibika.

Hata mbwa tunaowadharau hawafanyi hivyo sijui hiyo akili yenu ya kuutetea ushoga mnaupata wapi.

Msaada unatolewa eti kwa masharti ya kuruhusu ushoga na usagaji ni aibu kubwa kuwasifia watu wa namna hii na wa aina yako. Your muderer,

Hebu googlee hiyo unayoiita faraga mambo yafuatayo

Life expectancy ya shoga ni miaka mingapi.

Shogaalieanza hiyo tabia kabla hajafikisha miaka 20

Shoga aliyeanza ushoga baada ya miaka 20.

Shoga aliyepata ugonjwa sugu (HIV, blood pressure, sukari etc)

Kisha linganisha na straight man hapo ndio utajua tayari muda wako umefika mwisho.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Hizo hela nyingi zimetumika kueneza ushoga
 
Back
Top Bottom