Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Huo UKIMWI na kifua kikuu alivitengeneza nani kama sio mmarekani mwenyewe?? Waafrika mna vichwa vibovu sana. Mtu anawatenegenezea tatizo alafu anajidai kuja na solution kulimaliza, badala ya kumchukia kwa kuwaletea tatizo mnampigia makofi kwa kuleta solution ya tatizo alilolileta mwenyewe[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Toa ujinga wako hapa,mnaishi Kwa msaada wa beberu USA
 
Urusi enzi za USSR ilichangia kwa kiasi kikubwa harakati za ukombozi na uhuru wa nchi za Afrika. Na hata baada ya uhuru walikuwa mstari wa mbele kusaidia nchi hizi katika sekta mbalimbali tena bila riba.
 
Hizo pesa zote kala nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…