Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Hahaha..
Na dishi linayumba. Kuna namna wanaiba akili
La kufanyia uchunguzi....

Je ni mwili uliozoea ulevi wa pombe huko katika baridi kali na leo John anaendeleza ulevi hapo kwao kwa Manjunju ama nini haswa?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna msaada usiokua na masharti mkuu, read between the lines.. Kama unakumbuka Enzi za Magu hao hao wanaotupa misaada baada ya kuona sheria ya madini inaleta unafuu kwa Tanzania wakatishia kuweka vikwazo na baadhi ya unayoita misaada ikafutwa, Mugabe alifanyiwa hivyo pia kisa tu kurudisha ardhi kwa wazawa.

Ni bora huyu Russia, ukikaa nae mezani unafanya nae biashara na kama unaona haikulipi unaachana nayo ila sio beberu ukikaa nae mezani anakushawishi na misaada huku ukipoteza rasilimali zako.

Tufikirie kujisimamia, ipo siku hiyo misaada haitakuepo lakini Tanzania itakuepo daima.

Ukisoma historia, unashangaa kwa nini Chief Mangungo alitoa watu wake na madini kwa sababu tu ya Kioo.

Hivyo hivyo itakuja kutokea miaka 50 mbele, wajukuu zetu watakapogundua tulitoa madini na kuruhusu upinde kwa sababu ya misaada ya paracetamol.
 
Wamemfundisha Dr shika utapel
 
Hamia kwao sasa

Watuletee magonjwa kwann dawa wasililete wao
Acha bwana [emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo ni sawa na mganga wa asili kumpiga "chuma-zongo" mgonjwa halafu akamkaribisha kilingeni kumtibu?!!!
 
katika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..
Unakula unapo fanya kazi
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787]
 
LQBTQ ni swala la muda tu ila itaclick dunia nzima hapo kenya kuna magay kama wote heri tzeee mashoga bado wanajificha ficha
Unaposema "itaclick" unamaanisha nini?!!!

Kwani kuna mtu asiyejua kuwa ushoga uko kila pahala hapa duniani ?!!!

Ama unamaanisha tutautetea kikatiba?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Mbona hujaweka rangi za upinde mwisho wa uzi wako maana kuwasifia huko lazima wewe ni wale jinsia ya tatu
 
Unachagua yupi kati ya hawa
1. Anaekupa samaki
2. Anaekupa ndoano.
🤔
 
Hivi deni la taifa ni trilioni ngapi vile? Unamjua anaekudai ? Hii dunia omba upewe akili ujinga ni mzigo mzito.
China ametukopesha sana pia, mikopo yake mingi ndio haiko wazi kwa raia wa kawaida.
 
Ujamaa ni porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…