Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Hahaha..
Na dishi linayumba. Kuna namna wanaiba akili
La kufanyia uchunguzi....

Je ni mwili uliozoea ulevi wa pombe huko katika baridi kali na leo John anaendeleza ulevi hapo kwao kwa Manjunju ama nini haswa?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna msaada usiokua na masharti mkuu, read between the lines.. Kama unakumbuka Enzi za Magu hao hao wanaotupa misaada baada ya kuona sheria ya madini inaleta unafuu kwa Tanzania wakatishia kuweka vikwazo na baadhi ya unayoita misaada ikafutwa, Mugabe alifanyiwa hivyo pia kisa tu kurudisha ardhi kwa wazawa.

Ni bora huyu Russia, ukikaa nae mezani unafanya nae biashara na kama unaona haikulipi unaachana nayo ila sio beberu ukikaa nae mezani anakushawishi na misaada huku ukipoteza rasilimali zako.

Tufikirie kujisimamia, ipo siku hiyo misaada haitakuepo lakini Tanzania itakuepo daima.

Ukisoma historia, unashangaa kwa nini Chief Mangungo alitoa watu wake na madini kwa sababu tu ya Kioo.

Hivyo hivyo itakuja kutokea miaka 50 mbele, wajukuu zetu watakapogundua tulitoa madini na kuruhusu upinde kwa sababu ya misaada ya paracetamol.
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Wamemfundisha Dr shika utapel
 
katika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..
Unakula unapo fanya kazi
 
umepoaaaa jamaa hazingui kakuchana ukweli hii nchi ina mali za kutosha alafu wewe unatetea kupewa misaada huku mishipa ya shingo imekutoka
msipende vya bure bure mwisho wa siku wana waambia wanaume kwa wanaume waoane .......hamwezi kataa kwa sababu mmekula vyao vya bure ......shiiiit
[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna msaada usiokua na masharti mkuu, read between the lines.. Kama unakumbuka Enzi za Magu hao hao wanaotupa misaada baada ya kuona sheria ya madini inaleta unafuu kwa Tanzania wakatishia kuweka vikwazo na baadhi ya unayoita misaada ikafutwa, Mugabe alifanyiwa hivyo pia kisa tu kurudisha ardhi kwa wazawa.

Ni bora huyu Russia, ukikaa nae mezani unafanya nae biashara na kama unaona haikulipi unaachana nayo ila sio beberu ukikaa nae mezani anakushawishi na misaada huku ukipoteza rasilimali zako.

Tufikirie kujisimamia, ipo siku hiyo misaada haitakuepo lakini Tanzania itakuepo daima.

Ukisoma historia, unashangaa kwa nini Chief Mangungo alitoa watu wake na madini kwa sababu tu ya Kioo.

Hivyo hivyo itakuja kutokea miaka 50 mbele, wajukuu zetu watakapogundua tulitoa madini na kuruhusu upinde kwa sababu ya misaada ya paracetamol.
[emoji1787][emoji1787]
 
LQBTQ ni swala la muda tu ila itaclick dunia nzima hapo kenya kuna magay kama wote heri tzeee mashoga bado wanajificha ficha
Unaposema "itaclick" unamaanisha nini?!!!

Kwani kuna mtu asiyejua kuwa ushoga uko kila pahala hapa duniani ?!!!

Ama unamaanisha tutautetea kikatiba?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Mbona hujaweka rangi za upinde mwisho wa uzi wako maana kuwasifia huko lazima wewe ni wale jinsia ya tatu
 
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.

Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.

My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?

Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.

Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.

Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Unachagua yupi kati ya hawa
1. Anaekupa samaki
2. Anaekupa ndoano.
🤔
 
Hivi deni la taifa ni trilioni ngapi vile? Unamjua anaekudai ? Hii dunia omba upewe akili ujinga ni mzigo mzito.
China ametukopesha sana pia, mikopo yake mingi ndio haiko wazi kwa raia wa kawaida.
 
Urafiki wetu na Urusi si wa hasara.....tusingekuwa na urafiki nao...baba wa taifa asingetutaka urafiki nao....bado katiba yetu ni ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA...kama tu tuko na uanachama na JUMUIYA YA MADOLA....iweje tusiwe na ujamaa na wajamaa wenzetu?!!!

Hili haliondoi urafiki wetu na Marekani kwani pamoja na baba wa taifa kuamini katika ujamaa wa kiafrika bado alikuwa ni rafiki wa JF Kennedy......ijapokuwa Marekani ni mabepari bado Democrats wana "busubusu" za ujamaa.....

Taifa lenye kuwekeza katika fikra haliachi kufungamana na mengine japokuwa hatufungamani juu ya kila falsafa....rejea uhusiano wa MAREKANI NA UTURUKI.....

SiempreJMT[emoji120]
Ujamaa ni porojo tu
 
Back
Top Bottom