Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Shukurani za pekee kwa Rais George W. Bush ambaye ametoa msaada mkubwa sana kwenye kukabiliana na magonjwa, hususan UKIMWI na Malaria.
 
Hakuna shida kwa yote hayo,ila ushoga una laana
 
Anatoa nyavu za mbu ku promote biashara yake ya vyandarua na wewe huku unaona anakusaidia, bora RUSSIA aliye kimya.

USA inatoa dawa za kupunguza makali ya ukimwi badala ya kutoa dawa ya kutibu ukimwi ili kuendelea kufanya biashara za viwanda vya dawa
 
Ili apate nini? Wajinga mna shida sana..

Kwa hiyo nyie machoko mlilazimishwa na America au? 🤣🤣
 
Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.
Walitoa bure? Harafu kwa taarifa yako tu ndege nyingi za kijeshi hazina ubora. Elewa kuwa wao wenyewe wameshindwa kuzitumia huko Ukraine, na sasa hivi India imevunja mkataba wa kununua ndege za kijeshi kutoka Urusi.
 
Braza inaokekana hujui bei za dawa za binadamu. Siku ukijua bei ndo utashangaa hivi kumbe niaghali hivi??. Unaona dawa tunazotumia nyingi ni generic version. Siku wakigoma kutoa vibali vya kutengeneza generic version ndo utaina tunaanguka kama kuku mwenye mdende.
Hivi uliona covid walifanyaje? Dozi ya ukimwi kwa mwezi ni laki tatu. Hapo hujaweka dawa ya magonjwa nyemelezi. Bro tulipukutikaga vya kutosha. Wakati mwingine tajiri anakusaidia ili ajibrag kwenye vyombo vya habari. Haruna kitu ambacho wazungu hawawezi kuishi bila yenyewe. Wana gesi nyingi kuliko yetu, mafuta wanatuzidi, dhahabu wanayo pia, ardhi nzuri ya chakula wanayo na kutuzidi. Labda kwa sasa madini ya rare earthy ambayo ndo kwanza yanaghunduliwa. Na kwenyewe nawaona WaAurstralia na Waingereza ndo wana mpango nayo.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Ametusaidia kwenye afya. Bajeti yetu ya afya ipo mikononi mwa Wamarekani. Hujawahi kuona Watanzania wanavyokufa huko kwenye kujifungua, malaria, HIV, na magonywa mengine ya kuambukizwa.
 
Hivi unajua mipango yao ni ipi! Wanataka ku create demand na kutufanya dependants wa hizo ndude. Halafu baadaye wanakata misaada. You know what next, ni kusababisha angamizo kubwa kwa sisi wabantu.
Acheni kupenda mbususa kama vichaa. Kijana akiwa na hela anafiria kula kila tobo linalopita mbele yake. Hawajatengeneza matamanio ndani yetu aisee
 
Wacha akili mgando Kama sio hizo mashudu hio HIV ingekuwa ishaisha wao wanatupa hizo dawa ili tuzidi kuuana Sasa Kama kipimo Cha rapid test kinaweza shindwa gundua ukimwi kwa mtu anaetumia dawa unafikiria nini
 
Yaani Ukimwi wametengeneza wenyewe alafu wanakupa dawa uchwara na masharti kibao. Sijui viongizi wetu wanakwama wapi hawana ata ufahamu wa kujua huyu mtu ni adui kwetu tokea enzi za zamani sana.
 
Acheni kupenda mbususa kama vichaa. Kijana akiwa na hela anafiria kula kila tobo linalopita mbele yake. Hawajatengeneza matamanio ndani yetu aisee

Dawa ya hiyo akili mbofu, ni kupiga marufuku ARV. Mbona sisi vijana wa 80's na 90's wa miaka tuliweza kujizuia, maana tulijua ya kuwa you do you die. That was the principle, na wenzetu waliokuwa wanajifanya vidume tuliwazika wakiwa kilo 2. Sasa hivi ARV zimeleta ujinga. Vitoto vinajiachia, sababu tu kuna ARV. Maana hawafahamu UKIMWI ukoje. Wanasikia na kuelewa kwa mbaaali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…