Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Porojo kwa katiba ya Tanzania kuwa ni ya kijamaa ama?!!!Ujamaa ni porojo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porojo kwa katiba ya Tanzania kuwa ni ya kijamaa ama?!!!Ujamaa ni porojo tu
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.

Bwashee simama nao kabisa mpaka kwenye kushikishwa ukuta.Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Nasimama nao,kwani Huwa unalazimishwa kushikwa ukuta?Bwashee simama nao kabisa mpaka kwenye kushikishwa ukuta.
Ili apate nini? Wajinga mna shida sana..Anatoa nyavu za mbu ku promote biashara yake ya vyandarua na wewe huku unaona anakusaidia, bora RUSSIA aliye kimya.
USA inatoa dawa za kupunguza makali ya ukimwi badala ya kutoa dawa ya kutibu ukimwi ili kuendelea kufanya biashara za viwanda vya dawa
Walitoa bure? Harafu kwa taarifa yako tu ndege nyingi za kijeshi hazina ubora. Elewa kuwa wao wenyewe wameshindwa kuzitumia huko Ukraine, na sasa hivi India imevunja mkataba wa kununua ndege za kijeshi kutoka Urusi.Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.
Kumbe na wewe mkuu wangu huwa unatoa point sana!Ulipewa Msaada au ulinunua vitu substandard kama Uganda ?
Braza inaokekana hujui bei za dawa za binadamu. Siku ukijua bei ndo utashangaa hivi kumbe niaghali hivi??. Unaona dawa tunazotumia nyingi ni generic version. Siku wakigoma kutoa vibali vya kutengeneza generic version ndo utaina tunaanguka kama kuku mwenye mdende.Mkuu bado una utoto?!!
Una uoga?!!!
Hujui kuwa matatizo humkomaza mtu ?!!!
Siku wakisitisha ARV tutapata fikra za mlango mwingine.....huwenda tukaanza kuzitengeneza zetu wenyewe.....ukiogopa madhara ya kipindi cha mpito cha kukosa hizo dawa basi wewe si mtu mwenye kujiamini......hakuna lipatikanalo bila "harubu" na madhara kidogo....
Yaani unaogopa kupungukiwa kinga za mwili na uzito wa mwili ilihali unahitaji kupata shahada ya udaktari ,sheria ama engineering?!![emoji1787][emoji1787]
Acheni kupenda mbususa kama vichaa. Kijana akiwa na hela anafiria kula kila tobo linalopita mbele yake. Hawajatengeneza matamanio ndani yetu aiseeHivi unajua mipango yao ni ipi! Wanataka ku create demand na kutufanya dependants wa hizo ndude. Halafu baadaye wanakata misaada. You know what next, ni kusababisha angamizo kubwa kwa sisi wabantu.
Wacha akili mgando Kama sio hizo mashudu hio HIV ingekuwa ishaisha wao wanatupa hizo dawa ili tuzidi kuuana Sasa Kama kipimo Cha rapid test kinaweza shindwa gundua ukimwi kwa mtu anaetumia dawa unafikiria niniKuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.
Naye Hana lolote aliilenga tu kusomba Shaba ya Zambia!Li Nchi la hovyo sana lile na ujamaa wake wa.kienyeji..
China alijenga reli ya Tazara Kwa pesa zake walau tunaweza shoboka.nae sio hao wapuuzi
Acheni kupenda mbususa kama vichaa. Kijana akiwa na hela anafiria kula kila tobo linalopita mbele yake. Hawajatengeneza matamanio ndani yetu aisee