Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

Urusi imetusaidia sana kwenye vitu vya maana kwa kulinda utaifa wetu, usalama na ulinzi wa nchi yetu. Kwa taarifa yako majeshi yetu yamepata mafunzo toka Urusi na China ikiwemo vifaa vya kijeshi wakati US wamekuwa wakitusaidia sana kwenye mambo ambayo yatawasaidia sana wao kututawala na kwa maslahi yao mfano ushoga, kuharibu mbegu za mazao yetu na kuleta GMOs, kuharibu uzazi wa watz kwa kuleta madawa yenye madhara kwenye uzazi. Kwa ujumla Urusi inasaidia kufanya watz wajitambue kwa kufanyakazi zaidi ili tujitegemee wakati US inawafanya watz kuwa tegemezi.
 
Haku Hakuna nchi za kizungu zinazotowa msaada bila kuweka maslahi yao mbele.
 
Kwa msaada wa kondomu na vyandarua vyenye sumu huku waki impose ufirauni wa ulawiti na usagaji.

Hiyo nayo ni misaada? Be serious man!
Wamarekani hawasaidii kitu cha maana zaidi ni kuwafanya watumwa wa kiakili.
 
Utoto na Ushoga ni hatari sana. Ona sasa mada zinazoletwa za kusifia misaada badala ya kujitegemea.

USHOGA NI LAANA
 
Haku
Hakuna nchi za kizungu zinazotowa msaada bila kuweka maslahi yao mbele.
Kama maslahi gani hayo waliyoweka mbele?
Nitajie Nchi za Kiafrika au Kiarabu zinazotoa Msaada bila kuweka maslahi Yao mbele
 
Toa upuuzi wako,vitu gani hivyo mbona huvitaji ila unabuni buni tuu?
 
Hao mabeberu wamesababisha maumivu sana katika dunia hii. Migigoro yote unayoisikia kuanzia huko Ucrain, Syria, vita vya iran na iraq 8yrs, Libya, Iraq kwenyewe, kuwait na iraq saudia na yemen, palestina na israel hadi Khartoum wao ni chanzo. Human suffering huwezi linganisha na any amount ya hela. Na je unajua kinachoendelea katika vita hizo watu wana biashara za viungo kwenda kwao kuokoa watu. Je hiyo unaweza kulinganisha na thamani yoyote? Kwa taarifa yako tu kote walikopigana vita wanatumia depleted uranium yaani hiyo ardhi haifai kwa chochote si kuishi wala kulima. Bado wamsifia mtu wa hivyo? Hovyo kabisa.

Ukihesabu hizo billion kwa sasa wameweka biological lab Dodoma, na wanachimba Uranium kwa raha zao.

Mzungu hakupi tu dolari anakulainisha hadi sasa wameamua na ndoa za jinsia moja ziwe lazima. Ambazo mjamaa hataki kuzisikia hata mbabe Trump.
Kwa taarifa yako tuu hiyo HIV anayosaidia yeye ndio kaitengeneza ipunguze watu weusi, ebola katengeneza na korona yeye ndio alikuwa anatoa fedha. Amka


Je Mjamaa kafanya nini baya kwa Afrika ukiachia alisaidia liberation ya Africa kwa training na silaha. Think twice mtu anayekuonjesha dolari ana agenda gani?
 
Kivipi? Mjamaa hana msaada ndio maana nawashangaa wanaoshobokea ujinga..

Russia inafanya nini huko Sudan, Burkina Faso na Mali kama sio kuharibu Nchi za hao Jamaa?
 
Wewe ndio mpuuzi na shoga. Unategemea vifaa na mafunzo ya kijeshi yawe wazi kama hayo mambo yenu ya kishoga!!?
Ujinga umekujaa na Linchi lako la Kijamaa linalosapoti magaidi na mapinduzi Africa
 
Ujinga umekujaa na Linchi lako la Kijamaa linalosapoti magaidi na mapinduzi Africa
Hopeless comment!! US ameharibu nchi nyingi sana hapa duniani kuliko nchi yoyote ile. US imefadhiri ugadi sehemu nyingi duniani. Urusi imekuwa ikisaidia Afrika ili itoke kwenye mikono ya kitumwa ya kibeberu.
 
Hopeless comment!! US ameharibu nchi nyingi sana hapa duniani kuliko nchi yoyote ile. US imefadhiri ugadi sehemu nyingi duniani. Urusi imekuwa ikisaidia Afrika ili itoke kwenye mikono ya kitumwa.
US hajawahi haribu Nchi ambayo inajielewa,mbona asiharibu Tanzania?
 
Hopeless comment!! US ameharibu nchi nyingi sana hapa duniani kuliko nchi yoyote ile. US imefadhiri ugadi sehemu nyingi duniani. Urusi imekuwa ikisaidia Afrika ili itoke kwenye mikono ya kitumwa ya kibeberu.
Umelishwa matango pori..[emoji56][emoji12]
 
Tanzania imejitambua kupitia kwa Warusi na Wachina ikiwemo nchi zisizofungamana na upande wowote. Ndio maana Wamarekani wameshindwa kutuburuza mpaka sasa.
Fala wewe ungekuwa umejitambua usingepokea Msaada wao,bwanako Russia angekupa maelekezo basi..

Beberu America akikohoa hakuna wa kubisha,kamuulize Mwendazake na Bashite walipotaka kukamata mashoga ..

Beberu USA hakwepeki hata China anajua 👇
 
ulishajiuliza ni kwa nini marekani kwa miongo mingi amekuwa akiwashawishi ulaya na canada ambao ni businesss partners wakubwa wa urusi waiwekee vikwazo urusi ili kuiporomosha kiuchumi?

urusi angeachwa akajivinjari kama mataifa mengine yalivyo, ingefanya maajabu. Kwa wewe wa kizazi cha bongo fleva huwezi kujua. Wale tuliosoma enzi za nyerere tunajua nguvu ambayo urusi ilikuwa nayo. Kwa tz tunamshukuru mrusi alitujengea MUST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…