Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Kwa sababu ni mshindani wake,hakuna kingine.ulishajiuliza ni kwa nini marekani kwa miongo mingi amekuwa akiwashawishi ulaya na canada ambao ni businesss partners wakubwa wa urusi waiwekee vikwazo urusi ili kuiporomosha kiuchumi?
urusi angeachwa akajivinjari kama mataifa mengine yalivyo, ingefanya maajabu. Kwa wewe wa kizazi cha bongo fleva huwezi kujua. Wale tuliosoma enzi za nyerere tunajua nguvu ambayo urusi ilikuwa nayo. Kwa tz tunamshukuru mrusi alitujengea MUST
marekani ameweza kupiga propaganda urusi ionekane ni nchi ya dunia ya tatu. bahati mbaya wengi wanaamini hivyo, lakini unakumbuka mwanzoni mwa vita ya ukraine baad aya vikwazo, nini kilionekana kuhusu wingi wa private jets za russia, yatches na cruise hips za urusi zilivyo nyingi duniani?Kwa sababu ni mshindani wake,hakuna kingine
Urusi ni failed state msijichishe na maelezo mengi yasiyo na msingimarekani ameweza kupiga propaganda urusi ionekane ni nchi ya dunia ya tatu. bahati mbaya wengi wanaamini hivyo, lakini unakumbuka mwanzoni mwa vita ya ukraine baad aya vikwazo, nini kilionekana kuhusu wingi wa private jets za russia, yatches na cruise hips za urusi zilivyo nyingi duniani?
na hadi sasa, kwa wingi wa vituo vya television urusi ndiyo inaongoza duniani. Unaweza ukagoogle na ukacheck hata cia fact book. In nutshel Russia ni threat kubwa kwa marekani, ndiyo sababu huwa anawalazimisha NATO wawe upande wake, hata kwa kuwahonga mapesa mengi kupitia the so called ulinzi dhidi ya russia.
But, kwa sasa nchi kama ujerumani wanakiona cha moto, it is about to go into recession kwa sbaabu ya kukosa gesi.
...hafai kuwa dunia hii, ni nyoka na adui mkubwa
Pole sana.... ni failed state msijichishe na maelezo mengi yasiyo na msingi
So Marekani walitoa kwa lengo gani? Au walitoa bila lengo?Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
kweli kabisaMnapenda vya bure sana, US hanaga cha bure ndomana mnapakwa LGBTQ
Hivyo ubaona fahari wakwe zako kukuletea chakula, hujui kimelimwaje au kimepatikanaje unashobokea tu, kuna siku akili itakukaa vizuri.Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya.
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take; Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze.
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Ukiletewa jambo shukuru sio wajibu wako kujua walivyopataHivyo ubaona fahari wakwe zako kukuletea chakula, hujui kimelimwaje au kimepatikanaje unashobokea tu, kuna siku akili itakukaa vizuri.
Lakini pia ulitaka Urusi akupe nini wakati watoto wako wote umeshawaoza kwa Marekani.
Pambana kukuza uchumi wako sio kutemegea wakwe zako.
Mkuu nakusikitikia sana, hii ni ile mentality ya kaka yangu tajiri lazima anisaidie. You should struggle to build your economy ndio maana sasa mnalazimishiwa ushoga. Na bado Corona version two haijaja, ndio utagundua mambo sio poa.Ukiletewa jambo shukuru sio wajibu wako kujua walivyopata
Wapi nimesema lazima isaidiwe? Ila inapobodi omba Msaada Kwa Tajiri, maskini Kama Russia atakusaidia nini?Mkuu nakusikitikia sana, hii ni ile mentality ya kaka yangu tajiri lazima anisaidie. You should struggle to build your economy ndio maana sasa mnalazimishiwa ushoga. Na bado Corona version two haijaja, ndio utagundua mambo sio poa.
Kuna porojo hapo? Facts tupu! Hata ukienda maofisini kuna wale vikombi aka viherehere aka chawa watafanya lolote kuonyesha bwana wao(boss) kuwa ni mtu mzuri mwenye msaada! Hawa ndio waharibifu mbwa mwitu wanaotafuna wenzao! Slaves!!Porojo za kimaskini
Kumsaidia mtu lazima faida? Marekani inasaidia mabilioni ya dola Israel na Egypt uliwahi sikia inapata faida ipi in material things?Ungeweka na faida Marekani imevuna kutoka Tanzania,tulinganishe
America is a good Nation sio hao pimbi wengine..Kuna porojo hapo? Facts tupu! Hata ukienda maofisini kuna wale vikombi aka viherehere aka chawa watafanya lolote kuonyesha bwana wao(boss) kuwa ni mtu mzuri mwenye msaada! Hawa ndio waharibifu mbwa mwitu wanaotafuna wenzao! Slaves!!
Vibaraka, chawa kunguni kama wewe ndiye anayetamani kwenda huko! kwenye kiwanda cha kutengeneza mashogaUpuuzi,aache kupambana kwake walikoufa kama mainzi aje kupambana Italy?
Unaongea vitu vya kufikirika,umewahi sikia watu Wana haha kutaka kuhamia Russia? Hata wewe hapo unatamani kwenda Kwa kubwa la mabeberu America.
Hizo Majina haziwezi badili ukweli kwamba American is good Beberu,mbona huhamii huko Kwa Russia ukaishia?Vibaraka, chawa kunguni kama wewe ndiye anayetamani kwenda huko! kwenye kiwanda cha kutengeneza mashoga
"Hizo majina" Kumbe una undugu au wewe ni +254 wafuasi waadilifu wa ubeberu!? Ok nenda Karen kafagie barabara upate green card!Hizo Majina haziwezi badili ukweli kwamba American is good Beberu,mbona huhamii huko Kwa Russia ukaishia?
Ukiulizwa uchague hata kwenda shule lazima ukimbilie Kwa beberu ππ
Umewahi ona Waziri gani wa Tanzania ameenda Russia Kwa jambo lolote? Ili akapate nini huko Kwa wapuuzi?