wameuliwa na nchi gan?Hivi unafikiria Rkelly, Pddy wamefungwa kimakosa.
USA sio Polisi ya muriro yani unakamatwa alafu upelelezi baadae.
Mauwaji aliyofanya ya kuuwa waandamaji maduro,we ya hapa unaona yamepita.
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Trump mara kadhaa alicheki na Maduro na kumwambia aondoke mwenyewe.. hicho ni kiburi cha Maduro ndio kimemponzaJust to think beyond borders!
Uppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia.
je Trump atamruhusiukirudi Venezuela?
Nini Trump atafanya?
Trump ameamuru operation ya kijeshi kwa ajili ya Mahakama ya Marekani, endapo Maduro atashinda kesi basi Kosa litakuwa la mahakama lakini Maduro hatarudi tena Venezuela na Trump hatokuwa na kosaJust to think beyond borders!
Uppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia.
je Trump atamruhusiukirudi Venezuela?
Nini Trump atafanya?
Hujajibu hoja yangu...ikitokea mahakama ikamuachia, Trump atafanya nini?Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa, Trump mala kadhaa alicheki na Maduro na kumambia aondoke mwenyewe.. hicho ni kiburi cha Maduro ndio kime mponza
Very much possible! And that is the likely outcomeMaana yake hapo hukumu imeshapangwa kabla ya kusikiliza kesi. Yanayo endelea maigizo tu.
Linapokuja suala la maslahi "mapana" ya USA,wote huwa kitu kimoja.Lakini,kwa akili za kijingajinga na kipinzani kisiasa sintoshangaa wabaya wa Trump kutafuta kumuangusha au kumkwamisha.Just to think beyond borders!
Uppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia.
je Trump atamruhusiukirudi Venezuela?
Nini Trump atafanya?
Sawa, Mhakama ikimuchia ita mrudisha Venezuela akapambane na kesi zake kama watamfungulia Kwa hukoHujajibu hoja yangu...ikitokea mahakama ikamuachia, Trump atafanya nini?
Kwenye federal courts za Marekani, probability ya kushinda case (hata kwa mtu ambaye hana makandokando) ni less than 1%. Sasa kwa huyu mazafaka muuaji, probability ya yeye kushinda case ni approximately zero!Just to think beyond borders!
Uppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia.
je Trump atamruhusiukirudi Venezuela?
Nini Trump atafanya?
Mbona mahakama za serikali yako ya tanzagiza hazimuiingilii aliyeua maelfu 29 OctoberJust to think beyond borders!
Uppose Maduro mahakama imemuachia huru, hana hatia.
je Trump atamruhusiukirudi Venezuela?
Nini Trump atafanya?
sasa hio inahusiana vp na mada?Hata hapa tanzagiza mpo nyie Wapumbavu mnaompenda Samia Ila haina maana Samia sio muuaji
Less than 1% why?Kwenye federal courts za Marekani, probability ya kushinda case (hata kwa mtu ambaye hana makandokando) ni less than 1%. Sasa kwa huyu mazafaka muuaji, probability ya yeye kushinda case ni approximately zero!
Kwao uamuzi wa kumpeleka mtuhumiwa mahakamani sio mchezo wa bahati nasibu. Si unaona mwenyewe even the more powerful men wanavyoshindwa kuchomoka wakinaswa?Less than 1% why?