Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Wakati huo wachina hapa kwetu wanatembeza vitorori vya Ice Cream na kuuza Yebo Yebo za Afu tatu...
Tatizo la Marekani ni living cost sio kibunda unachokusanya.Hizo ndo fursa wachina waje kiwanja waache kulipwa peanuts huko kwao. Janitor kiwanja analipwa zaidi ya senior engineer China na full benefits.
Marekani sio sehemu salama kwa wakati huu, vurugu na kupigana risasi ovyoovyo ni mambo ya kawaida.Tatizo la Marekani ni living cost sio kibunda unachokusanya.
Halafu kama ulikuwa haujui ni kuwa scientists wengi wa China waliokuwa Marekani wanarudi kwa kasi sana China. Kwa sababu za kiusalama na nyinginezo, hamna kipya kilichopo Marekani hakipo China kwa sasa.
Juzi kati wataalamu kutoka Korea Kusini wa Hyundai-LG wamerudi kwao ni kwa sababu ya sera kandamizi "ICE" ya Trump.
Nimeona hata raisi wa Korea Kusini ni kama amekatishwa tamaa na kitendo hicho.
Nani atakuwa na hamu ya kwenda kuwekeza au kuwatrain Wamarekani?
Wana viburi halafu wana low technical know how kwenye manufacturing.
Naona Trump yamemfika hapa kaamua kusema ukweli anahitaji msaada wa nchi zingine.
Marekani sio sehemu salama kwa wakati huu, vurugu na kupigana risasi ovyoovyo ni mambo ya kawaida.
Umesema vyema.
Hata sheria za vibali vya kazi ni hovyo sana Marekani.
Na pia ukiwa mgeni kufuatiliwa na maafisa au kupelelezwa hasa ukiwa unafanyia mishe zako au mwajiriwa kwenye sekta ya science na technology
Hilo taifa linatengeneza kizazi cha ajabu sana huko nchini kwao, huu mwendo wao ni suala la muda tu, kwenda kwenye hard declineSahihi wanarudi
Marekani chini ya Trump imeamua kuja na sera ya H1B visa ili kuwavutia expertise people kutoka mataifa yenye wahitimu wengi wa Science Technology Enginering na Maths (STEM) kama India
Hivi karibuni Trump aliruhusu wanafunzi 600,000 wa China wakasome vyuo vya sci & tech Marekani
Changamoto ya Marekani majanja wengi wazawa wanakimbilia kusoma Humanities mbanga za STEM wanazikimbia
WalibwetekaMiaka ya nyuma wakati China inatengeneza midoli na bidhaa za low tech kama cherehani, baiskeli, footware, clothing n.k Marekani haikuwa na hofu na China kabisa.
Ila China ilipoanza kutengeneza bidhaa za high tech na kutishia utawala wa Marekani, nchi za Ulaya na Japan kwenye sci-tech, unajua kilichofuata?
Trade, tech and tariffs wars dhidi ya China zikaanza
Walibweteka
Wanapenda kusoma vitu rahisi rahisi
Hilo taifa linatengeneza kizazi cha ajabu sana huko nchini kwao, huu mwendo wao ni suala la muda tu, kwenda kwenye hard decline
wanahitaji dikteta mmoja tu awarudishe kwenye reliKuna madogo wako Marekani hawajui jinsia yao kwa sababu ya kutapakaa mafundisho kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili. Kuna mambo ya ajabu sana Marekani
Njaa na uvumbuzi havijawahi kukaa meza mojaVichwa vya kiafrika vinauwezo wa kufanya uvumbuzi wowote?