Anawaibia na wanaogopa kusema, China Kawashika makendeSio kosa mkuu nchi kua na upungufu wa wataalamu flani wa fani flani. Marekani hajasema hana, ila ana upungufu. Nchi zote Duniani zina upungufu, hakuna nchi ina wataalamu wote wa kujitosheleza kwenye kila kitu.
Kwenye wizi wa teknolojia hujawahi kusikia Marekani kaiibia china, bali china ndio anaiba Marekani.
Historia huwa inamsema vibaya sana Hitler, ila mwamba aliinyanyua sana Ujerumani.wanahitaji dikteta mmoja tu awarudishe kwenye reli
nAam, hawa maximum democracy inawafelisha sana, nguvu wanazotumia kupuuza democracy ikifika kwenye taifa la netanyahu wangezitumia kujiimarisha wangefanya vyema, hii dicline yao mimi naiunga mkono🤣Historia huwa inamsema vibaya sana Hitler, ila mwamba aliinyanyua sana Ujerumani.
Kwa miaka 3 aliitoa Ujerumani kutoka kwenye hyperinflation, mass unemployment na kuwa vizuri kiuchumi Ulaya.
Biden na Trump kwa miaka zaidi ya 8 wanashindwa kurudisha manufacturing nchini Marekani, kupunguza inflation. Mass layoffs na unemployment zinaongezeka kila siku
Nafikiri kufikia hapa Wamarekani wana cha kujifunza, industrial economy ndio real economy na sio financial and service economy peke yake
Miaka ya 1990s Marekani walikimbilia kuwekeza kwenye financial and service economy.
Sasa hivi wameanza kukumbuka their past glory kwenye uchumi wa viwanda, once upon a time Detroit was the greatest mfg city in the world
Kilio cha Trump kuomba experts kimefunua hilo
Sio China tu, kuna watu wengi wapo Nondo nje ya China na Usa,Hizo ndo fursa wachina waje kiwanja waache kulipwa peanuts huko kwao. Janitor kiwanja analipwa zaidi ya senior engineer China na full benefits.
Mfano Taiwan hapo kwenye Tsmc kuna wapo wapo vizuri sana dunia hii, wakati Usa ana mforce Tsmc afungue factory Usa kuna maneno aliropoka Founder wa Tsmc Akawaita Engineer wa Marekani "Giant babies"
Marekani wanatoka kuwa taifa lenye kutoa experts mpaka kufikia kuhitaji experts wa nje.Sio kosa mkuu nchi kua na upungufu wa wataalamu flani wa fani flani. Marekani hajasema hana, ila ana upungufu. Nchi zote Duniani zina upungufu, hakuna nchi ina wataalamu wote wa kujitosheleza kwenye kila kitu.
Kwenye wizi wa teknolojia hujawahi kusikia Marekani kaiibia china, bali china ndio anaiba Marekani.
Ndio hapo kauli ya Giant babies ilipotoka, wale Injinia wa Usa walipo kua Taiwan cultural zili clash sana,Na TSMC walipoenda kuanzisha chip factory hapo Arizona Marekani hawakupata wabobezi wa Kimarekani kwenye masuala ya ku-install chips foundry.
Iliwabidi wataalamu wa TSMC kutoka Taiwan wawatumie Wamarekani kama vibarua tu
Wakubali tu kwamba China ndio aliwapiga kwenye mshono bila ya wao kujua kwasababu low production cost inajumuisha wataalamu wenyewe na mazingira yote ya uzalishaji ikiwemo mali ghafi na miundo mbinu.
nAam, hawa maximum democracy inawafelisha sana, nguvu wanazotumia kupuuza democracy ikifika kwenye taifa la netanyahu wangezitumia kujiimarisha wangefanya vyema, hii dicline yao mimi naiunga mkono🤣
Hapa umeua mkuuNafikiri Democracy na Capitalism zimeshafeli. Sasa ni wakati wa Marekani kujaribu mifumo mingine ya kiutawala na kiuchumi. So far sioni jipya kwa Marekani
Republican na Democratic ni kama Coca Cola na Pepsi tofauti ni majina lakini zote zinakupa flavor ileile na sumu ileile ndani ya mwili
Marekani haina vyama 2 it has two flavors of the same poison
Na Wamarekani wamelazimishwa kuzinywa kwa miaka zaidi ya 200
Marekani ilikufanyaga nini
🤣🤣🤣🤣Kuna madogo wako Marekani hawajui jinsia yao kwa sababu ya kutapakaa mafundisho kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili. Kuna mambo ya ajabu sana Marekani!
Mkewe ambaye ni Israel ameshindwa kumsaidia
Nje ya Mada
Kwa upande mwingine marekani ni nzuri sana kimandhari, zile master planned communities ziko kwenye hali ya juu mno. China watu wanaishi zaidi maghorofani, sijaona kabisa wakiishi kwenye free standing homes
Kwa uchache sana, China's situation doesn't encourage surburbian lifestyle
Kwa uchache sana, China's situation doesn't encourage surburbian lifestyle
Ukishasema rural inakuwa sio 'sub-urban' tena, hakuna access to high end amenities. Kubali hii lifestyle sio culture ya wachina, ni Kwa matajiri wakubwa sana na wachache wanaoweza kuafford such kinda life in China wakati Marekani ni middle class lifestyle.Ukienda rural China pia utajionea kwa wingi