Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #41
Ukishasema rural inakuwa sio 'sub-urban' tena, hakuna access to high end amenities. Kubali hii lifestyle sio culture ya wachina, ni Kwa matajiri wakubwa sana na wachache wanaoweza kuafford such kinda life in China wakati Marekani ni middle class lifestyle.
Kuhusu population hakuna asiyejua hilo,Kwanza lazima ujue kuwa population ya China ni kubwa mara 4 ya MarekaniView attachment 3473929
Marekani watu wamesambaa sehemu karibu zote tofauti na China
Na 94% ya population ya China wanaishi Mashariki ya China na ndiko yaliko majiji makubwa ya China. Kwa hiyo kuishi kwenye rent house za maghorofa ni sawa.
Utawezaje kuwa na single family house za kuaccomodate watu wote hao ambao ni karibu sawa na idadi ya watu wote wa China?
Na kwenye hayo majiji apartments nyingi ziko vizuri na gharama nafuu hii imefanya Wachina wengi wawe home owners.
Lakini unapotoka nje ya majiji hayo makubwa unapata watu wanaishi kwenye single family houses na zinazidi kuongezeka kadiri maeneo ya mbali ya China yanaunganishwa na HSR na highways.
Imekuwa rahisi kwa watu kuishi nje ya majiji kwenye single family houses kwenda kwenye majiji makubwa. Jaribu kugoogle ujionee
Na uzuri kwa wastani Wachina wengi wanaweza kuafford kumiliki nyumba kuliko Wamarekani
US kinachowamaliza ni huo ujinga wao wa mambo ya ajabu... Halafu watu wapo too sensitive.. eti ukilitukana shoga hadi watu wanaandamana na unafungwa..🤣🤣🤣Kuna madogo wako Marekani hawajui jinsia yao kwa sababu ya kutapakaa mafundisho kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili. Kuna mambo ya ajabu sana Marekani!
Unaposema kwamba 94% ya wachina wamekusanyika mashariki ya China 'kwakuwa ndipo yalipo majiji makubwa' Je inamaana kuwa wamarekani 'kusambaa Marekani nzima' ni kwasababu majiji makubwa ya marekani yamesambaa Marekani nzima? Kama ndivyo basi KUDOS Marekani
Suburban"Unapotoka nje ya majiji" unamaanisha nini? Rural Kama ulivyosema awali au unamaanisha 'city limits' or rather 'edge of the city'?
😁😁😁🤣Kuna madogo wako Marekani hawajui jinsia yao kwa sababu ya kutapakaa mafundisho kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili. Kuna mambo ya ajabu sana Marekani!
😂😂😂Wakati huo huo Tanganyika tuna uhaba wa wataalamu wanaoweza kugombea Urais naona ni mchuano kati ya Mama na Salumu Mwalimu 🐼
Zinatoka wapi ?Sio China tu, kuna watu wengi wapo Nondo nje ya China na Usa,
Mfano Taiwan hapo kwenye Tsmc kuna wapo wapo vizuri sana dunia hii, wakati Usa ana mforce Tsmc afungue factory Usa kuna maneno aliropoka Founder wa Tsmc Akawaita Engineer wa Marekani "Giant babies"
Long story short Usa na China siasa nyingi sana ila project ngumu ngumu duniani hazitoki kwao wote.
Sehemu mbalimbali duniani, ila most of time ni Japan na Eneo la katikati pale Ulaya.Zinatoka wapi ?
Vitu vya kawaida sana hivi mkuu hakuna vitu vya ajabu hapa ajabu ni kwamba vina mkono wa U.S kwenye ufanikishaji wake ni sawa na programs nyingi tu za IsraelSehemu mbalimbali duniani, ila most of time ni Japan na Eneo la katikati pale Ulaya.
Mfano hawa ASML, ni waholanzi
View attachment 3474063
Hii mashine yao inaitwa EUV, kidunia ni mashine hio pekee inaweza kutengeneza vifaa vya kitechnology vya kisasa kwa udogo wa nanomita 4, 3, 2 etc wana absolute monopoly na vitu vyote vya ki electronic vya kisasa kama Gpu za Nvidia, Cpu za Intel, Apple etc zinategemea hizo Machine. Kwa watu ambao wanafuatilia mambo ya Technology wanaiweka EUV level moja na maajabu ya Dunia mengine.
Mimi nilikua mpenzi sana wa Nokia wakati kampuni inauzwa Usa mwaka 2013 wale jamaa wengi hawakwenda USA walibaki pale pale Finland na walikua wakigombaniwa kama pipi, imagine kampuni kubwa kubwa kama Huawei, Microsoft, Xiaomi, Apple etc wote wakawachukua, cha ajabu hizo kampuni zimewafuata Finland na kujenga R&D pale pale tena majengo yale yale ya Nokia. So unapoona Huawei, Xiaomi, Oppo, Vivo, Apple etc wana Camera kali asili yake ni kikundi kama cha watu 40 pale Finland.
Same kwa Japan utaona stori hizo hizo, hakutengenezwi Boeing bila wao, Hizo semiconductor mchanga mwepesi kabisa wa quality ya juu wanatengeneza wao, vinu vya nyuklia ambavyo haviungwi chuma etc ni wao, ukienda hapo Usa utakuta Nyuklia yao yamepewa makampuni kama Hitachi na Toshiba.
Kwenye EUV machine Marekani hana mkono, hiyo mashine ni moja ya maajabu ya dunia. ASML wamemonopolyVitu vya kawaida sana hivi mkuu hakuna vitu vya ajabu hapa ajabu ni kwamba vina mkono wa U.S kwenye ufanikishaji wake ni sawa na programs nyingi tu za Israel
EUV na DUV machines ni kitu kingineSehemu mbalimbali duniani, ila most of time ni Japan na Eneo la katikati pale Ulaya.
Mfano hawa ASML, ni waholanzi
View attachment 3474063
Hii mashine yao inaitwa EUV, kidunia ni mashine hio pekee inaweza kutengeneza vifaa vya kitechnology vya kisasa kwa udogo wa nanomita 4, 3, 2 etc wana absolute monopoly na vitu vyote vya ki electronic vya kisasa kama Gpu za Nvidia, Cpu za Intel, Apple etc zinategemea hizo Machine. Kwa watu ambao wanafuatilia mambo ya Technology wanaiweka EUV level moja na maajabu ya Dunia mengine.
Mimi nilikua mpenzi sana wa Nokia wakati kampuni inauzwa Usa mwaka 2013 wale jamaa wengi hawakwenda USA walibaki pale pale Finland na walikua wakigombaniwa kama pipi, imagine kampuni kubwa kubwa kama Huawei, Microsoft, Xiaomi, Apple etc wote wakawachukua, cha ajabu hizo kampuni zimewafuata Finland na kujenga R&D pale pale tena majengo yale yale ya Nokia. So unapoona Huawei, Xiaomi, Oppo, Vivo, Apple etc wana Camera kali asili yake ni kikundi kama cha watu 40 pale Finland.
Same kwa Japan utaona stori hizo hizo, hakutengenezwi Boeing bila wao, Hizo semiconductor mchanga mwepesi kabisa wa quality ya juu wanatengeneza wao, vinu vya nyuklia ambavyo haviungwi chuma etc ni wao, ukienda hapo Usa utakuta Nyuklia yao yamepewa makampuni kama Hitachi na Toshiba.
Mkuu umefuatili kwa makini nafasi ya marekani kwenye ASML ?Kwenye EUV machine Marekani hana mkono, hiyo mashine ni moja ya maajabu ya dunia. ASML wamemonopoly
Wenzetu wanasoma jamani sie tupo bize kufukuana mitaro maana ndio habari ya mjiniEUV na DUV machines ni kitu kingine
Leo Wachina (SMIC) kwa mara ya kwanza wamefanya majaribio ya mashine yao ya DUV
Inasemekana itaweza kutengeneza chips hadi za 7nm-5nm
China litakuwa taifa la kwanza duniani kutengeneza DUV machine nje ya Mholanzi ASML
Kuclaim EUV na ASML ni kitu cha kawaida unatakiwa ukafanye homework yako vizuri, as of now makampuni kumi tajiri duniani niVitu vya kawaida sana hivi mkuu hakuna vitu vya ajabu hapa ajabu ni kwamba vina mkono wa U.S kwenye ufanikishaji wake ni sawa na programs nyingi tu za Israel
Moja ya sababu hadi leo ASML haina alternative ni kwamba hawaja outsource manufacturing, ni EU technology na hata supplier ukiangalia ni hapo hapo Ulaya wale muhimu, mfano optics zao wanatumia Carl Zeiss, laser zinatoka Trumpf, Cymer, etcMkuu umefuatili kwa makini nafasi ya marekani kwenye ASML ?
Mkuu umefuatili kwa makini nafasi ya marekani kwenye ASML ?
Moja ya sababu hadi leo ASML haina alternative ni kwamba hawaja outsource manufacturing, ni EU technology na hata supplier ukiangalia ni hapo hapo Ulaya wale muhimu, mfano optics zao wanatumia Carl Zeiss, laser zinatoka Trumpf, Cymer, etc
Yes Usa ana tech zake ASML ila sio major contributor ki technology, nguvu kubwa ya Usa kwa ASML ni kiuchumi kwamba yeye makampuni yake mengi yanategemea hapo, otherwise siku nyingi tu ASML ingeshakua kampuni ya Usa.