Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran

Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran

Nenda kawe kiongozi wa hamas au hizbullar uone kama Isra-hell hawajakuwahisha kwa Allah.
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.

Inasemekana kwamba kabla ya kufariki, Khalid alisema:

“Nimepigana vita vingi, na hakuna hata sehemu moja mwilini mwangu isipokuwa imejeruhiwa na panga, mshale, au mkuki, lakini hapa niko, ninakufa kitandani kama ngamia anavyokufa. Lakini macho ya woga hayatulii kamwe.”

Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
 
Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo.

Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu kuna wangesema hizi nchi zipo uchi majasusi kibao lakini kwa US aaah

Soma Pia: Israel inavyojipanga kujibu mapigo dhidi ya shambulio lililofanywa dhidi yake na Iran
=====================
The US is investigating a leak of highly classified US intelligence about Israel’s plans for retaliation against Iran, according to three people familiar with the matter. One of the people familiar confirmed the documents’ authenticity.




View: https://x.com/cnnbrk/status/1847739170904588798?t=xS2aAuQKQMJXfwY43PSMmg&s=19

Ni dalili njema ya wenye akili kuuchoka upumbavu wa babu na benjanyau,nawapa pongezi kwa hilo na wazidi kuvujisha kwa faida ya dunia,wapalestina,wayemen,wa lebanoni,wairani na wapenda haki wote.
 
Back
Top Bottom